Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

Wanaume wa Dar wamewashindwa walimbwende hawa

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
502
Reaction score
320
Kwa kweli inasikitisha kuona wanaume wa Dar wamewashindwa hawa walimbwende, maana ni warembo wanapitia mambo mazito ya kupigania maslahi ya watu. Kwakweli naomba muwasaidie kupunguza frastesheni angalau watuachie copy maana menopause inaonekana haipo mbali sana. Kigwangala kaishia kunywa chai.
Wanaume wa Dar tatizo khaa




hao.jpg
hao1.jpg
hao2.jpg
hao3.jpg
 
Wanawaogopa kwakuwa wanajielewa, wanaume wengi wanapenda wanawake wenye akili Kama chura, ukimwambia ruka kichura chura anaruka....lakini wanawake wenye kujua hata mwanaume ana maternity ya kulea mtoto ndani nyumba hatuwataki....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nitofautiane na wewe kidogo, nahisi wanaume wa Dar hawako sawa, Prof. Ndalichako kasoma mpaka mwisho na kufundisha juu lakini wandava wamepita nae. Sasa hawa wengine vipi??
Mwingine huyu
hao4.jpg
 
Naomba nitofautiane na wewe kidogo, nahisi wanaume wa Dar hawako sawa, Prof. Ndalichako kasoma mpaka mwisho na kufundisha juu lakini wandava wamepita nae. Sasa hawa wengine vipi??
Mwingine huyuView attachment 1015386
Utazunguruuuuka koooote Bado utarudi pale pale hao wanawake hawakuumbwa kumnyenyekea mwanaume hata kwenye upuuzi na ujinga tulionao wanaume wengi, Kuna kitu unakitafuta ila najitahidi sana kukukwepa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawaogopa kwakuwa wanajielewa, wanaume wengi wanapenda wanawake wenye akili Kama chura, ukimwambia ruka kichura chura anaruka....lakini wanawake wenye kujua hata mwanaume ana maternity ya kulea mtoto ndani nyumba hatuwataki....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Lawyers hata ukimkunja style matata kwa bed anaenda fungua kesi ya udhalilishaji! Nani wa kutaka hizo habari
 
Hao Lawyers hata ukimkunja style matata kwa bed anaenda fungua kesi ya udhalilishaji! Nani wa kutaka hizo habari


Hahahahahhahahaaaa looh

Itabaki kuwa ni ngumu sana kuwaelewa wanawake. Ishini nao kwa akili si mabavu wala mifumo wala sheria..... akili tuu utamzalisha kila mwaka atakuwa wako peke yako.....

Tafuteni wanaume wenye akili walioweza hayo...... (msiseme nimetukana mtu tafadhali).
 
Back
Top Bottom