Shamrashamra za Valentine zinakera!

miami0101

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,367
2,000
Valentine ! kila saa valentine! inamana hamna vitu vingine vya maana vya kuzungumzia mwezi huu zaidi ya huo upumbavu wenu wa valentine? mnachochea mapenzi tu ambayo kibongobono hatuna.

yani kama mimi nna mastress yangu ya mapenzi na kila kona nikipita ni valentine tu natamani nipasuke yani.

WODE WANAOCHOCHEDE VALENTAIDE KUMAMADE ZADE WODEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miami0101

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,367
2,000
hizi stress ni balaa unaeza ukameza topaz.. Ngoja niangalie season ya legend of the seeker, huyu Z noma sana zaidi hata ya mother confessor
Pole sana
Ukiona wewe leo mahusiano kwako ni changamoto jua wakati wewe uko totally "inLove" kuna wenzio walikuwa wana stress kama ulizonazo wewe leo,.maisha ndivyo yalivyo so tulia tuu...usipanic saaana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,773
2,000
HAHAhha kama nakuona unavyowakilisha jamiii kubwa

Hata mimi kwa kweli nakereka imekaa kibiashara na kingono ngono tu hiyo siku
valentine valentine valentine valentine valentine valentine valentine valentine valentine
Kila kona halafu uhalisia hakuna
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
9,626
2,000
Valentine ! kila saa valentine! inamana hamna vitu vingine vya maana vya kuzungumzia mwezi huu zaidi ya huo upumbavu wenu wa valentine? mnachochea mapenzi tu ambayo kibongobono hatuna.

yani kama mimi nna mastress yangu ya mapenzi na kila kona nikipita ni valentine tu natamani nipasuke yani.

WODE WANAOCHOCHEDE VALENTAIDE KUMAMADE ZADE WODEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi natafuta mwenye stress kama zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom