Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu imekaaje hii.. Au Nani amewai tokewa na haya mambo.. Tulishindwana tukiwa first year vyuo tofauti.. Sasa sa chache zilizopita nikaitrace namba yake Maana nilizifutaga.. Ikabidi nimcheki...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Tunajua kuna muda mnakasirika kwa tunayowafanyia. Hasira tunakubaliana nazo maana muda mwingine mnasitahili kukasirika. Lakini majibu mnayotujibu yamekuwa mazito na kadri siku zinavyoendelea...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Ukizaa na mwanamke then ukamuacha utasikia wanawake wanakulalamikia " ukizalisha wanawake na ukawaacha, mabinti zako na dada zako nao watachezewa na kuachwa.." Sasa nauliza umalaya wangu Mimi...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wabongo? Kuna rafiki yangu African-American au Black American ambaye amefanya research ya historia yake na kugundua kwamba babu yake au kizazi chake kwa upande wa baba kinatokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu katika kuishi Kwangu duniani Kuna jambo najiuliza Sana mwanamke hata awe komando kiasi gani sumu yake ni mdudu nyoka.. Naomba wajuzi waje hapa watudadavulie. Reference nasikia ni pale...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Natafuta mwanaume umri kuanzia miaka 30 Awe na kazi Awe anamcha MUNGU Asiwe mswahili swahili Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Mume alicheat. Mke alipogundua, nae akaamua ku- cheat, ila akaishia kupata na mimba baada ya kufanya hivyo. So swali, ni nani ndo alieisambaratisha familia?
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Hapa ndio ule msemo USIVUNJE CHAGA KWA DEMU ULIYEMUHONGA PIPI unapotumika.
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za usiku wanajamii forum Kwa muda sasa ninaona nadharia ya PESA inapewa mashiko sana kwenye mahusiano,mtu anakuambia tafuta pesa wanawake hawatakusumbua maana kwenye pesa mademu hutulia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Vijana hasa wanaume tunapoteza pesa nyingi sana kisa madem kwanini nasema hivi leo asubuh nimetulia zangu nikaanza kupiga hesab za fasta kuhus pesa nazopoteza kwa wanawake toka nijue nin maana ya...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Wana MMU naombeni ushauri wenu kuna demu kila nikimwomba game anasema kufanya mapenzi ni dhakbi alinambia yupo form four ila ukimwangalia age imekata ivii. Naombeni mbinu zakumshawishi
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana nilikuwa narudi Dodoma chuoni sasa nilichelewa kupanda gari hadi ikanilazimu kufika saa 4 usiku.Nikaona kufika chuoni tatizo coz ishu za hostels hazijawa settled nikaamua kutafuta gesti...
5 Reactions
163 Replies
21K Views
Wewe usiye na mpenzi lkn ungetamani uwe nae akuwish happy valentine, mtoke mvae nyekundu mgegedani sana , lkn ndo hivyo tena huna. Njoo hapa angalau tufarijiane , tupikia kawish kako hapa huenda...
5 Reactions
162 Replies
9K Views
Je ukikutana na Mke wa Mtu Gesti / Loji ambaye mnajuana ' Kindakindaki ' akiwa anaenda Kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine ( Hawara ) huku Mumewe ukiwa unamjua vyema tu.. 1. Ukamwambie Mumewe...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani nimetengana na mume wangu baada ya kuona vipigo vimezidi ikabidi niondoke niende kwa kaka angu ambaye naye anafamilia yake. Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni fulani lakini mume...
8 Reactions
703 Replies
49K Views
1-hata kama hujui mapenzi yeye HAJUI KWAMBA HUJUI..ukipanda kama kuku sawa ukicheua dakika 6 sawa ...hana comparison wala reference...ILA UOE GUBE GUBE looh...Ukishuka tu anampigia Ex Wake simu...
16 Reactions
264 Replies
59K Views
Baada ya kuhitilafiana naye baada ya kukataa kulala naye kitanda kimoja na shuka moja....na kuzuka vurugu za hapa na pale Mwanamemba mmoja wa jf alitukutanisha na kuombana msamaha na baada ya...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Mkulima mmoja alikuwa na Punda ...Punda aliyedumu nae kwa miaka mingi sana aliyemsaidia shughuli za kilimo na uchukuzi..alikaa naye toka akiwa mtoto mpaka punda akawa mzee kabisa. Siku moja wakiwa...
21 Reactions
26 Replies
4K Views
Majukumu yanaendaje ndugu zanguni?. Leo asubuhi nimetoka maghetoni nikiwa na mawazo fulani hv maana tangu jana shemeji yenu hapokei simu na sijui ana matatizo gani aisee sababu si kawaida yake...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nawasalimia ndungu zangu. Ni mambo mengi nimeyaona kutokana na Tafiti zangu. Kuna msemo unasema penye nia pana njia. Ninapenda kuongelea mambo mawili ambayo nimekumbana nayo katika pita pita na...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom