Kwa wadada jamani

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,242
2,000
Mbona unaitapeli kama ni ndogo Eti

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm huyo? Maskini jeuri, nitoke mkoa zuuuuuuuu hadi dar kwa basi? Bora nifie mkoa.

Nilishawahi Mara moja Fanya upuuzi wa kwenda na ndege dar kwa nauli yangu nikarudi na basi iliniuma na hiyo ilikuwa ni upuuzi wangu kumjali MTU asiekuwa na Maana ikabidi nijinyime nimsaidie yeye. iliniuma sitosahau na haitojirudia.
😂😂😂eti nimfate mwanaume dar kwa basi afu nilale njiani??😂😂😂😂
BTW hiyo ya basi nikitumiwa kasema asante yesu, nahemea vyakula ndani natulia.
 
RASCO BOY

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
428
500
Mm huyo? Maskini jeuri, nitoke mkoa zuuuuuuuu hadi dar kwa basi? Bora nifie mkoa.

Nilishawahi Mara moja Fanya upuuzi wa kwenda na ndege dar kwa nauli yangu nikarudi na basi iliniuma na hiyo ilikuwa ni upuuzi wangu kumjali MTU asiekuwa na Maana ikabidi nijinyime nimsaidie yeye. iliniuma sitosahau na haitojirudia.
eti nimfate mwanaume dar kwa basi afu nilale njiani??
BTW hiyo ya basi nikitumiwa kasema asante yesu, nahemea vyakula ndani natulia.
ha ha ha pengine ukumpa mambo vzr yaani akuuelewa mzigo ungempa vzr wala asingekuangusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,687
2,000
Wadada wa dar noma sana utakuta anakuomba nauli labda atatokea mwenge to ubungo eti nitumie nauli ukimwuliza shingapi utasikia tuma elfu kum na ya kutolea wakat nauli hapo 400 tu, wadada wa dar embu kuweni na huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,687
2,000
Mm huyo? Maskini jeuri, nitoke mkoa zuuuuuuuu hadi dar kwa basi? Bora nifie mkoa.

Nilishawahi Mara moja Fanya upuuzi wa kwenda na ndege dar kwa nauli yangu nikarudi na basi iliniuma na hiyo ilikuwa ni upuuzi wangu kumjali MTU asiekuwa na Maana ikabidi nijinyime nimsaidie yeye. iliniuma sitosahau na haitojirudia.
eti nimfate mwanaume dar kwa basi afu nilale njiani??
BTW hiyo ya basi nikitumiwa kasema asante yesu, nahemea vyakula ndani natulia.
pole mkuu kipindi hicho ulikuwa umekufa umeoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,861
2,000
Mm huyo? Maskini jeuri, nitoke mkoa zuuuuuuuu hadi dar kwa basi? Bora nifie mkoa.

Nilishawahi Mara moja Fanya upuuzi wa kwenda na ndege dar kwa nauli yangu nikarudi na basi iliniuma na hiyo ilikuwa ni upuuzi wangu kumjali MTU asiekuwa na Maana ikabidi nijinyime nimsaidie yeye. iliniuma sitosahau na haitojirudia.
eti nimfate mwanaume dar kwa basi afu nilale njiani??
BTW hiyo ya basi nikitumiwa kasema asante yesu, nahemea vyakula ndani natulia.
"Nahemea"...kanda ya ziwa tu

United Fan
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom