ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Wakuu naomba kujua ukweli juu ya siku hii maana kuna mkanganyo wengi wahusisha siku hii na ushirikina wengine wakiihusisha na Upendo naomba kujua kwa wenye uelewa mpana. Najua wengi ni bendera fuata upepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app