Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Helo wakuu
Mpo?
Basi bwana tukielekea siku ya wapendanao kesho ngojeni niwape story yangu flani
Mimi ni mtu wa bush sana nimezaliwa Na kukulia village.
Sasa hapo kijijini kwetu bna kipindi hicho nakua watu wa bush kwetu waliokuwa wamekuja dar walikuwa wanahesabika sana.
Kuna jamaa mmoja hivi tulikuwa tunasoma nae mzee wake alikuwa anaishi mlandizi. Yeye alikuwa anaishi bush pale Na grandma wake.tukifunga Shule yeye alikuwa anaenda zake mlandizi . Basi bna tukifungua Shule tunamzunguka Shule nzima anatupa story za dar mlandizi! Ahahahaa.yaani pale bush kila mtu alikuwa anaitamani mlandizi! Yaani tulikuwa hata tukicheza michezo ile ya kutaja miji tunagombania mlandizi.
Mtu akiwa Na kitendawili chake kigumu ili atupe jibu hata umpe mji gani duniani ,sijui London ,Washington sijui wapi hataki lazima umwambie mwanangu nenda mlandizi ndo anasomeka kutoa jibu.
Basi bwana yaani tuliteseka Na mlandizi sisi kwetu mlandizi ilikuwa ndo dar Na zaidi ya dar yaani.
Nakuja mtoto analilia simu aah
Sent using Jamii Forums mobile app