Nimekumis mnato.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,638
4,522
Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria. Ulikuwa mnato kweli, mwanzo hadi mwisho. Lakini tokea wakati huo sijakutana nawe tenaa. Kila ninapodhani ntakutana nawe naishia kujikuta nimekua mvuvi. Mnato Umeenda wapi mnato wanguuu. Cha kushangaza nimekutafuta mpaka kwa watoto wa shule, lakini haukuwepo mnato wangu. Siku moja nikiwa safarini pale Unyankindi Singida nilikubahatisha bila kutegemea. Japo ulikuwa ni usiku mmoja nilikufurahia mnato. Lakini toka mwaka ule wa 2012 sijabahatika tena kukutana nawe. Naomba nisaidiwe kumpata tena mnato. Ikishindikana basi hata nielezwe kilichomsibu mnato mpaka amepotea namna hii. Au ni mimi tu ndio sikutani naye,na wenzangu mnakutana naye...
 
Everything in Nigeria is Big!

Obina
 
Back
Top Bottom