Wanawake : Mixed Signals, huwa inaisha lini?

Wanawake : Mixed Signals, huwa inaisha lini?

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,995
Reaction score
2,017
Habari za siku wakuu,

So, mke wangu alipata mafanikio fulani kazini. A decent breakthrough. Mimi kama ndugu mtazamaji, motivator na mshangiliaji wa maendeleo yake nikaona si mbaya nikafanya chochote.

Ujue ndoa bana zina kupanda na kushuka hata mjitahidije. Kuna siku tulikuwa sehemu tunapata chakula cha usiku mimi na yeye. Ki ukweli ilinigharimu sana kusimamia uwepo wetu pale. Chakula kilikuwa kizuri sana na sehemu ilikuwa tulivu just like we love. Ila alikuwa anaandamana balaa. Chakula ni too expensive! Kwanini dada kachelewa! kwa nini hawana hiki au kile! Eee endelea tu kumwangalia huyo dada! What happened is hakula hata chakula chenyewe kikafika nusu. Nikamuomba tu dada mhudumu anifungie ntasepa nacho. Nikawaza hakuna sehemu nzuri ambayo utaweza kumpeleka msichana mwenye hadhi ya mke halafu usitoboke mfuko. Sasa mitoko anapenda na saa nyingine hataki ni gharama.

Turudi kwene ushangiliaji. Basi nikahangaika siku nzima kuset up zawadi. Akiniuliza uko wapi namzungusha. Akasema najua ni zawadi unatafuta, si lazima zawadi jamani we rudi tu nyumbani, it's okay. Mpaka nikataka kukata tamaa. Ila nikasema nitafute tu. Wakati namkabidhi zawadi yenyewe alishangingilia! Honestly cjawahi muona that happy recently.

Binafsi cjawah kuhusudu hizo ndio maana back then msichana akiniambia ctaki ama nna mtu huwa namuacha. Hadi kuna msichana alikuja kunilaumu sana for not insisting. Mke wangu anajua ila ndo haachi( Welcome to the marriage arena). So I ask myself, hivi mnatakiwa kuwa kwenye ndoa miaka mingapi ndo mixed signals aka sitaki nataka ziishe?
 
FB_IMG_15501264195856630.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Simply put: Your wife is ungrateful, hypocritical, materialistic and bossy. Worse enough, if takes an expensive gift pay for her happiness and a smile hahaha mzee mchunguze vizuri sana huyo mkeo, hiyo hapo huwa tunaita ni RED ALERT.
 
Code red to be exact..


"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom