OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,498
- 605
Mi ni mwanamume wa miaka 26 nahitaji,mchumba wa miaka 18-24, awe mcha mungu,mkristo asiwe mchagaa,mzaramo,mnyamwezi,muhaya ila tofauti na hao nawapenda wote awe na mapenzi ya dhati,awe bikira,anaweza kuwasiliana nami,email-mchumba2007@yahoo.co.uk namba ya simu badae.awe rangi ya chocolate au mweupe,msomi.naitwa Nicelapaz