Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vijana hasa wanaume tunapoteza pesa nyingi sana kisa madem kwanini nasema hivi leo asubuh nimetulia zangu nikaanza kupiga hesab za fasta kuhus pesa nazopoteza kwa wanawake toka nijue nin maana ya...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Wana MMU naombeni ushauri wenu kuna demu kila nikimwomba game anasema kufanya mapenzi ni dhakbi alinambia yupo form four ila ukimwangalia age imekata ivii. Naombeni mbinu zakumshawishi
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana nilikuwa narudi Dodoma chuoni sasa nilichelewa kupanda gari hadi ikanilazimu kufika saa 4 usiku.Nikaona kufika chuoni tatizo coz ishu za hostels hazijawa settled nikaamua kutafuta gesti...
5 Reactions
163 Replies
21K Views
Wewe usiye na mpenzi lkn ungetamani uwe nae akuwish happy valentine, mtoke mvae nyekundu mgegedani sana , lkn ndo hivyo tena huna. Njoo hapa angalau tufarijiane , tupikia kawish kako hapa huenda...
5 Reactions
162 Replies
9K Views
Je ukikutana na Mke wa Mtu Gesti / Loji ambaye mnajuana ' Kindakindaki ' akiwa anaenda Kuliwa ' Uroda ' na Mwanaume mwingine ( Hawara ) huku Mumewe ukiwa unamjua vyema tu.. 1. Ukamwambie Mumewe...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani nimetengana na mume wangu baada ya kuona vipigo vimezidi ikabidi niondoke niende kwa kaka angu ambaye naye anafamilia yake. Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni fulani lakini mume...
8 Reactions
703 Replies
49K Views
1-hata kama hujui mapenzi yeye HAJUI KWAMBA HUJUI..ukipanda kama kuku sawa ukicheua dakika 6 sawa ...hana comparison wala reference...ILA UOE GUBE GUBE looh...Ukishuka tu anampigia Ex Wake simu...
16 Reactions
264 Replies
59K Views
Baada ya kuhitilafiana naye baada ya kukataa kulala naye kitanda kimoja na shuka moja....na kuzuka vurugu za hapa na pale Mwanamemba mmoja wa jf alitukutanisha na kuombana msamaha na baada ya...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Mkulima mmoja alikuwa na Punda ...Punda aliyedumu nae kwa miaka mingi sana aliyemsaidia shughuli za kilimo na uchukuzi..alikaa naye toka akiwa mtoto mpaka punda akawa mzee kabisa. Siku moja wakiwa...
21 Reactions
26 Replies
4K Views
Majukumu yanaendaje ndugu zanguni?. Leo asubuhi nimetoka maghetoni nikiwa na mawazo fulani hv maana tangu jana shemeji yenu hapokei simu na sijui ana matatizo gani aisee sababu si kawaida yake...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nawasalimia ndungu zangu. Ni mambo mengi nimeyaona kutokana na Tafiti zangu. Kuna msemo unasema penye nia pana njia. Ninapenda kuongelea mambo mawili ambayo nimekumbana nayo katika pita pita na...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Kisa cha kweli, ni mshikaji wetu twashirikiana kwa mengi. Yupo ndoani yapata miaka zaidi ya kumi. Miaka ya mwanzoni mambo yalikuwa mswano, lakini sasa mchizi anajuta. Kiaina sio kwamba ana life...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
KIJANA Priva Elian (29) anayeishi Useri wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili. Wakizungumza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KIJANA Priva Elian (29) anayeishi Useri wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili. Wakizungumza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
If you cheated, should you tell? Hili ni swali gumu kwa wengi wetu, mara nyingine mtu anaweza kaanguka katika dhambi hii bila plans. Kwa wale wenzangu ambao after every now and then wanasafiri...
4 Reactions
202 Replies
12K Views
Wadada njooni mtuambie ukweli Tafadhari fungukeni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna bidada yupo chuo mwaka wa mwisho hapa kitaani. Binti ana sura ya kawaida tu kama lastborn wa Babangida, Ila kajaaliwa Nundu hiyo chini ya mgongo hatari. Huku na huku nikasakanya namba...
4 Reactions
71 Replies
7K Views
Mapema leo siku ya ijumaa ndugu zetu wa upande wapili upenda kuita Ijumaa kukuu nikiwa nimejipumzisha mahali kutokana na uchovu wa pilika pilika za hapa na pale lakini pia na uwepo wa jua...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuoa Mwanamke aliyekuzidi Umri ni sawa sawa na Kununua Gazeti linalotoka asubuhi nyakati za Jioni. Nawasilisha.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom