Valentine hii kupo kimyaaaaa

Valentine hii kupo kimyaaaaa

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
36,889
Reaction score
73,347
Naona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.

Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua kesho na michepuko yao?? Hii ni danganya toto labda.

Lakini wanaume nao wana akili wanajua leo wale wadangaji watawadanga mpk wakose hela ya supu asubuhi. Kila la heri wanaume wote mnaojali familia zenu na kuona wao ndo wa kwanza wengine badae.

Kwa wale wanaume wasiotulia kama mitungi ya gas ikiwa on basi kazi kwenu kumbukeni wakati ni ukuta.
 
Maoni yako tafadhali
Mwanamke anao uwezo wa kumfanya mwanaume wake atulie au awe kiruka njia.
Jifunzen namna ya kuwa na mapenzi bora kwa waume zenu

[emoji375][emoji375]
 
leo ni siku ya kazi watu hawawezi kunywa tangu asubuhi

Mashabiki wa ndala eti wamegoma kuvaa nguo nyekundu

tukutane kwa mchina
Hiii mada ya wana ndala tuachane nayo kwa sbb hata mm ntashangaa kama.wamevaa nyekundu
 
Mwanamke anao uwezo wa kumfanya mwanaume wake atulie au awe kiruka njia.
Jifunzen namna ya kuwa na mapenzi bora kwa waume zenu

[emoji375][emoji375]
Ujumbe mwanana kutoka kwa husband material
 
Yani acha tu! Na maisha yalivyo mchakamchaka,niliacha kusherehekea miaka saba iliyopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si hata mm nimeshangaaa yani mtaani kimyaa huku changanyikeni kimyaa naona tunaanza kujali wapendwa wet wa karibu kuliko kujionyesha njiani na manguo mekundu
 
Hivi kuna watu bado wanajali haya mambo!?
Naona mmenza kuacha acha kwa sasa mnatulia na familia zenu. Zamani ndo ilikua siku ya kuwaonyesha mabebezi kuwa unazo
 
Naona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.

Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua kesho na michepuko yao?? Hii ni danganya toto labda.

Lakini wanaume nao wana akili wanajua leo wale wadangaji watawadanga mpk wakose hela ya supu asubuhi. Kila la heri wanaume wote mnaojali familia zenu na kuona wao ndo wa kwanza wengine badae.

Kwa wale wanaume wasiotulia kama mitungi ya gas ikiwa on basi kazi kwenu kumbukeni wakati ni ukuta.
Hatuna hela mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom