Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
SIFA ZA MWANAMKE ASIYE NA KAZI 1. Wanachagua wanaume wa kuolewa nao na mara nyingi huvutiwa na wanaume waliokamilika kimaisha. Siku ukifilisika atakuacha atafute mwingine mwenye pesa. 2...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu samahanini nimekutana na binti
0 Reactions
2 Replies
954 Views
No man in the universe can ever start a family with a single mother. The reason ? She already have a family which comprises of her and her kid (s ) ( The father of the kid may...
17 Reactions
91 Replies
7K Views
  • Closed
Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia. Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua...
1 Reactions
217 Replies
23K Views
Hamujambo wanajf! Nielekee kwenye point direkiti. Wanaume mwenye age kuanzia 58 yrs kwenda juu. Anayejiweza na mwenye uchu wa maendeleo ili tuweze kusaportiana ktk kutengeneza pesa zaidi.kibopa...
11 Reactions
798 Replies
45K Views
Maisha ya kujitegemea kuishi mbali na wazazi huwa yanaweza kuanza muda wowote, maisha hayana mpangilio. Unaweza kuwaandalia watoto kila kitu lakini mipango ikavurugika. Wengine wanaanza maisha...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya jana wapenzi na wapendanao kusherekea siku yao ya Valentine day , basi na sisi ambao hatuna wapenzi maalumu hatujaachwa wapweke . Leo tar 15 in siku yetu ya Single awareness day(SAD) na...
6 Reactions
176 Replies
8K Views
Kuna watu unakuta wanasisitiza wenzao kuoa, ukiwauliza faida za kuoa mojawapo utaambiwa una uhakika permanent wa K kila siku. Wanadai kua kama hujaoa ukihitaji K inabidi uinunue kwa wadangaji au...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Majuzi ilikuwa ni Siku ya Wapendanao, au Valentine’s Day, siku ya kuonyesha upendo kwa yule umpendaye. Bila shaka kila mmoja aliisherehekea kwa kadiri ya utashi wake. Nilichokigundua, ambacho...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati mwingine ni vizuri kujifunza kupitia maandishi. Unaweza kujiona upo sahihi kwenye uhusiano wako na mambo yanaenda kumbe kuna vitu unakosea bila mwenyewe kujua. Unaishi kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba nikiri kwamba mi ni kijana wa miaka 29,sijaoa nahitaji mwanamke mwenye kuhitaji kuolewa,kama atakuwa muislamu itafaa zaid,sichagui kabila,umri niutakao asizid miaka 35,huduma zote za msing...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Zimeibuka threads za Mara kwa Mara hapa Jf watu wakiulizana wafanye kitu gani ili kuwavutia wanawake. Like seriously? Why wasting ur time for non sense? Women are not essentials .They are just...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Yaani kama katika kuakua yako uliwahi au upo kimahusiano ya kimapenzi na: * Mwanafunzi * Mke wa MTU * House girl * Masista duu *...
11 Reactions
78 Replies
24K Views
Wakuu imekaaje hii.. Au Nani amewai tokewa na haya mambo.. Tulishindwana tukiwa first year vyuo tofauti.. Sasa sa chache zilizopita nikaitrace namba yake Maana nilizifutaga.. Ikabidi nimcheki...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Tunajua kuna muda mnakasirika kwa tunayowafanyia. Hasira tunakubaliana nazo maana muda mwingine mnasitahili kukasirika. Lakini majibu mnayotujibu yamekuwa mazito na kadri siku zinavyoendelea...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Ukizaa na mwanamke then ukamuacha utasikia wanawake wanakulalamikia " ukizalisha wanawake na ukawaacha, mabinti zako na dada zako nao watachezewa na kuachwa.." Sasa nauliza umalaya wangu Mimi...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom