Siku yetu ya Single awareness day(SAD)

Luckme

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
717
1,000
Baada ya jana wapenzi na wapendanao kusherekea siku yao ya Valentine day , basi na sisi ambao hatuna wapenzi maalumu hatujaachwa wapweke .

Leo tar 15 in siku yetu ya Single awareness day(SAD) na sisi tuna sherekea sasa sjui tunasherekea nini (umalaya) au (uzinifu) ata sielewi..

Anyway wale wenzangu na mimi ambao tupo single lakini huduma za kimwili tunapata kama kawaida tujumuike hapa kusherekea siku yetu .....

am better here
 

Luckme

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
717
1,000
You are so draft young lady.

Kukosa mpenzi mi automatically kuwa malaya ama mzinifu?
Hapana nimezungumzia wale ambao hatuna commitment na mtu .....cjazungumzia single ambao hawajihusishi na mapenzi noooo....

am better here
 

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,221
2,000
wana wa CHAPUTA wote kesho tukutane kama ratiba isemavyo hapa:-

wa mikoani tukutane MWANZA hotel,

wa dar es salaam tukutane ALFA&OMEGA hotels

wale wa kaskazini tukutane golden valleys hotels

Wale wa mikoa mingine mutajuika na wenzenu maana mnaishi kusiko julikana!!

kila mwanachama aje na sabuni ili kuimarisha chama na kuonyesha uzarendo wa dhati..

NB:haya ni maelezo ya mlevi mmoja aliekuwa na siku kadhaa hajara

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom