Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
.......
Jamaa anatushuhudia jinsi anavyo furahia kuona kana kwamba Mungu amejibu maombi yake kwa kumchapa huyo dada alie mtosaAiseee,.
Na wengi hufurahi wakisikia walio kuwa wapenzi wao wamepatwa na mabaya huko waendako,.Jamaa anatushuhudia jinsi anavyo furahia kuona kana kwamba Mungu amejibu maombi yake kwa kumchapa huyo dada alie mtosa
Basi wewe utakua na roho nzuri hata zaidi ya malaikaSijafurahia kwani sijui kesho yangu mkuu
Maisha ndivyo yalivyo kama kweli limekugusa muombee rehema kwa Mungu..binadamu kuna muda tunajisahau sana na kuona tumefika mambo flani flani yakiwa mazuri,tunasahau kuwa sisi ni kama majani tunastawi na kunyauka vilevile..Bado siijui kesho yangu kibinadamu nimehuzunika. Ila nawaza tu yule mshkaji anajuta. Wale mashemeji zangu wananikwepa kama ukoma