Hustling
New Member
- Dec 13, 2018
- 2
- 1,190
Ukizaa na mwanamke then ukamuacha utasikia wanawake wanakulalamikia " ukizalisha wanawake na ukawaacha, mabinti zako na dada zako nao watachezewa na kuachwa.."
Sasa nauliza umalaya wangu Mimi unawahusu Nini dada zangu???? Kwa hiyo dada angu apate matatizo ya kuachwa kwasababu tu Mimi kaka ake Malaya???? Kwa hiyo dada angu awe single mother kwasababu tu Mimi kaka ake nimefyatua single mothers kadhaa?????? Acheni mawazo ya kijinga.
Noma