Nimekutana na mrembo (mdigo)kwenye bus niombeje namba

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa walimbwende ww kidigo.

Halafu sijawahi omba namba ya binti nisaidieni jinsi ya kuomba namba asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chukua simu yako imyut saut. kisha idondoshe chini. baada ya Muda muombe yake cmu ili ujibp tayar utakuwa umepata namba hapo.
 
sawa naona unajitahidi kutaka kuwa shemeji yangu ila sijajua shemeji wewe wa wapi/. nikishajua ndo nitacomment kama uombe namba au la?
 
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa walimbwende ww kidigo.

Halafu sijawahi omba namba ya binti nisaidieni jinsi ya kuomba namba asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyoomba lokesheni
 
Umejua kabila lake unashindwa kujua namba yake kwel? Sasa mnapiga story gan mpka mida hii? Anyways kama safar ni ndefu kulingana na story mlizopiga unaweza kuomba namba mkikaribia ila kama daladala imekula kwako.
 
Mimi safarini nikikaa na wsrembo Kwanza huwa naangalia movement zake kwa smu yake....utajua ni mtu wa aina gani.... Kuna moja nliwahi muuliza sorry umewasha Bluetooth hapo? Akasema Bluetooth? Nkamwambia Ndiyo ntaka nkutumie namba yangu ya simu hapo kupitia Bluetooth... Akacheka nkavuta mzigo kiulain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom