Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mazee kuna mademu wawili nimetokea kudate nao. Mmoja hana shape ila ananipenda saaaana na kunijali sanaa tatizo lake ni mtu wa kuumwa kuumwa sana kila siku, anasumbuliwa na vidonda vya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii ndo full story ya kinachonitatiza. Nilivyomaliza chuo kikuu nlikuwa na nia ya kutafuta mchumba na kuoa maana umri unazidi kusogea kwani mpaka sasa nina miaka 30. Katika mazungumzo ya utani...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mheshimu mwanamke wako kwa sababu sisi wote tunamtaka(tunamtamani) na sisi ni bora zaidi kuliko wewe,lakini alikuchagua wewe,sasa siku akichoka..ndio akili itakukaa sawa!
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Niaje Wakuu Hivi majuz nilipata kademu kamoja maeneo karibu na Nyumban sasa kademu kalikuwa kananiletea Shobo sana SMS kila saa mara analia lia sijui sina bahati ya wanaume mara sipendwi sijui nin...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako tu Kutiririka na Kuserereka katika Utoaji wa ' Madini ' yako. Nawasilisha.
7 Reactions
62 Replies
7K Views
Hivi utatumia usafiri gani ukiambiwa uwasafirishe wate uliowahi piga nao mzigo kwa mkupuo mmoja bila kumuacha hata mmoja. Utatumia usafiri gani. Sema ukweli Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
1 Reactions
48 Replies
18K Views
Habari wakuu.. Leo tuzungumzie swala la baadhi ya marafiki ambao ni maarufu kwa kutibua mipango, najua wengi limeshawatokea hususani kabla ya kuoa. Hivi unakuta una promise na demu wako na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naam Habari za saa izi wana JF Mi mwenenu baada ya kuaca u domo zege na kusaliti chama changu cha miaka mingi, nikamdondokea binti mmoja ivi ambae nlikuwa nampenda kabla ata sijatoka chaputa ila...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Amani kwenu wadau Kama bandiko linavyojieleza hapo juu nimeileta hii mada tuijadili hapa jamvini kwa pamoja ipi inakua ni habari zaidi.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
SIFA ZA MWANAMKE ASIYE NA KAZI 1. Wanachagua wanaume wa kuolewa nao na mara nyingi huvutiwa na wanaume waliokamilika kimaisha. Siku ukifilisika atakuacha atafute mwingine mwenye pesa. 2...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu samahanini nimekutana na binti
0 Reactions
2 Replies
954 Views
No man in the universe can ever start a family with a single mother. The reason ? She already have a family which comprises of her and her kid (s ) ( The father of the kid may...
17 Reactions
91 Replies
7K Views
  • Closed
Ni miezi kama miwili imepita tangu nimalize chuo na kurudi nyumbani.....lakini hata hivyo nilikuwa narudi kipindi cha likizo kuonana na familia. Kwanza niseme tu wazi,,,sina desturi ya kukagua...
1 Reactions
217 Replies
23K Views
Hamujambo wanajf! Nielekee kwenye point direkiti. Wanaume mwenye age kuanzia 58 yrs kwenda juu. Anayejiweza na mwenye uchu wa maendeleo ili tuweze kusaportiana ktk kutengeneza pesa zaidi.kibopa...
11 Reactions
798 Replies
45K Views
Maisha ya kujitegemea kuishi mbali na wazazi huwa yanaweza kuanza muda wowote, maisha hayana mpangilio. Unaweza kuwaandalia watoto kila kitu lakini mipango ikavurugika. Wengine wanaanza maisha...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya jana wapenzi na wapendanao kusherekea siku yao ya Valentine day , basi na sisi ambao hatuna wapenzi maalumu hatujaachwa wapweke . Leo tar 15 in siku yetu ya Single awareness day(SAD) na...
6 Reactions
176 Replies
8K Views
Back
Top Bottom