Wanaume walio oa na ambao hatujaoa wote tunanunua/kulipia ngono kila siku.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kuna watu unakuta wanasisitiza wenzao kuoa, ukiwauliza faida za kuoa mojawapo utaambiwa una uhakika permanent wa K kila siku. Wanadai kua kama hujaoa ukihitaji K inabidi uinunue kwa wadangaji au vinginevyo ila kwa mke wako unapata tu bure.

Ni hivi, wote, umeoa au hujaoa K siku zote tunazilipia au kuzigharamia. Mwanamke anaekubali kuolewa na kua anakupa K kila siku na wewe ni baada ya wewe kua utatimiza mahitaji yake ya kila siku maisha yake yote, kama huo uwezo huna hakuna mwanamke anakubali kuja kuishi na wewe ule tu bure K yake.

Mlioa oa mmesaini mkataba wa kua na short term and long term liability, hilo ni deni maisha yako yote, sisi ambao hatujaoa tuna short term liability.

Hoja yangu ni kwamba, wanaume mliooa msijifariji kua mnakula K bure, ile kodi ya mezani mnayoacha kila siku ndio gharama yenyewe na kupata hiyo K, kama huachi kodi ya meza hakuna K. Kwa mwanamke yoyote K inatolewa baada ya yeye kuridhika na wewe kua utaigharamia, utalipa gharama zinazotokana na wewe kupewa K.

Hivyo kwa wnaaume, we all buy sex, whether married or single.
 
Hii hypothesis ni mbovu mkuu.. huwezi kusema kuishi na mke ni sawa na kununua papuchi yake kisa tu eti kwasababu unatoa matumizi ya kila siku.. Inakuwa kweliendapo tu kama mke wako umem-define kama chombo cha starehe.

Ila kama mkeo sio chombo cha starehe, ujue kwamba huduma unazomgharamikia ni kwamba unapenda umuone akiendelea kuwa mwanamke bora ukijua ya kwamba ubora wake yeye utakuwa na trickle down effect hata kwa maisha yako wewe mwenyewe kwa angle tofauti tofauti.
 
Uzi ulitakiwa kuishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani mtu anayebisha kwamba hazilipiwi? Ukiachana na kwamba kuoa ni raha sababu utakuwa unampenda na unahitaj auwepo wake tu kwenye maisha yako sio k tu,au anakufanyia huduma zingine muhim mfano kupika na usafi,tunachoongelea Hapa ni kwamba HIYO K ni kama UMEINUNUA if other things nilizitaja hapo juu REMAINS CONSTANT.

1.ANAKULA KWAKO(au kwake ikiwa na maana umechangia hivyo vitu zaidi ya 60%)

2.ANAVAA KWAKO

3.ANAPENDEZA KWAKO

4.ANALALA KWAKO

Halafu unasema hununui hiyo K? Kumbuka hapa hatuongelea mnavyopendana
 
Unamtunza tu kama unavyotunza pet wako! Kwani kufuga paka na mbwa ni kwamba kila siku unawanunua kuishi nao kwako?
 
Mwanaume aliyeoa huitwa MUME. Huyu anakula kilihalalishwa, tendo takatifu la Ndoa, hatendi dhambi.
Yule asiyeoa huitwa MZINIFU au kufunikafunika ataitwa BOY FRIEND. Huyu anatenda dhambi na kuharibu wakati

Usipende kulinganisha vitu vitakatifu na laana mkuu!
 
Back
Top Bottom