Nimekutana na mrembo (mdigo)kwenye bus sijui nianze vipi kuomba namba

Namba za wanawake wengine unapataga vipi ?

ila kama mnaenda mbali relax kwanza mpe stori za uongo uongo na kumfanya afurahi
kisha wakati wa kushuka ndio mnabadilishana namba
 
Back
Top Bottom