Sifa Za Mwanamke Asiye na Kazi

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,041
2,000
SIFA ZA MWANAMKE ASIYE NA KAZI

1. Wanachagua wanaume wa kuolewa nao na mara nyingi huvutiwa na wanaume waliokamilika kimaisha. Siku ukifilisika atakuacha atafute mwingine mwenye pesa.

2. Hachelewi kukuroga iwapo akiona unachepuka maana anahisi unaweza muacha akashindwa kuendesha maisha yake mwenyewe.

3. Wengi wao hupiga umbea maana wanakaa tu na hawana kazi za kufanya.

4. Hawajui kutafuta pesa, hivyo siku ukikosa lazima atakulaumu au kukukashifu.

5. Mchoyo na mgumu kuwajali ndugu zako maana anaona ukiwasaidia nyie mtapungukiwa.

6. Kama umeshakua tajiri akiona unataka kumuacha hachelewi kukuua ili arithi mali zako zote.

7. Hawezi kumpenda au kumlea mtoto wako wa nje maana anaona atamuongezea mzigo au kupunguza mali.

8. Hajiamini, kila wakati anakufatilia anahisi unaweza muacha sababu hana kazi.

9. Gubu, muongeaji sana na hupenda kulia hata ukimkosea kosa dogo hudhania unamnyanyasa sababu hana kazi badala ya kujua makosa kwenye ndoa ni jambo la kawaida.

10. Akitoa maoni ukampinga huhisi unamdharau kwa sababu tu hana kazi hivyo hulalamika.

Epuka kuoa mwanamke asiyejua kujishughulisha kwani siku ikitokea unahitaji msaada wake hautaupata bali atakukimbia kutafuta wale wenye uwezo zaidi yako.

Sigara Kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,220

Ukweli mtupu,bro unatisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,007

Swadakta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom