Habari za muda huu wanajukwaa, ni mara nyingine tunakutana katika jukwaa letu hili pendwa kwa ajili ya kujifunza.
Nikienda moja kwa moja kwenye mada, leo katika pitapita zangu huku na huko...
Naombeni kuuliza taratibu za kuoa binti wa kisafwa. Nimekuwa nikisikia kuna Barua na ndani iwe na pesa ,mara posa kwa binti so sielewi.. Msaada tafadhali
Najua wengi mnaona aibu na tayari mlishafahamika kwa ID kongwe. Unaona aibu watanionaje! Nitaonekanaje mimi? Ila nakuhakikishia ukija na ID kongwe huhitaji kutumia nguvu kumpata walau unayefanana...
Pamoja na kua mwanamke anatakiwa kua na sifa nyingi ila kwa sasa mwanamke yoyote anatakiwa kua na vitu vitatu tu vya muhimu. Hii haijalishi kama ni msomi au sio msomi, ana hela au hana hela...
Woyooooooooooooooooo!
Nawapenda wote pia
Asanteni Kwa Birthday Wishes, am Blessed kuzaliwa leo sikukuu ya wanawake Duniani
Uuuuuwi kama najiona leo nitakavyo turn-up woyoooooo ππππ
Nimetimiza...
Kwanza inahitajika mtaji hata kama mdogo
Pili kufanya kazi kwa bidii
Tatu uvumilivu.kubali kukua kidogo kidogo.mafanikio hayaji kwa siku moja
Wanawake tunaweza !
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu historia yangu fupi ni Kua babu yangu amenipa urithi ambao unanifanya kila mlimbwende anaingia king..
Wenye kumbukumbu mtaona Kuna siku nilikua na mdigo kwenye basi,, mtoto wa uholanzi...
Matendo/vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi?
Yawe simple tu siyo ya kumpa maumivu mpaka ajute kuwa na wewe mfano (kumuonyesha unamsaliti)
Nataka nijue Yale ya kisaikolojia...
Tatoo sio Mbaya haswa ikiwa na Usanii ambao lengo lake ni kuongeza Mvuto na urembo.
Lakini kuna Maamuzi mengine ya kuiga Vitu vya Ajabu kabisa mwishowe unakuja juta na Kusaga Meno.
Tatoo kama...
Well yeah almost the same thing happened to me. I trusted someone so much because I thought we had a good future together, we had been together for four years, I did a very stupid thing, last year...
Habarini wakuu! Wanawake leo ni siku Yetu ebu tubadilike tuache kuwategemea wanaume , Mbona tunaweza siyo kitu kidogo tu nitumie hela ki ukweli inaboa, niwape siri ukiwa unajiudumia unapata...
Vitendo alivyokuwa anafanya R Kelly ni vya kinyama na vya kiudhalilishaji, ila Kwa upande wa pili wanawake ni wa kulaumiwa, Kwa sababu wamekuwa na Tabia ya kupenda watu wenye ela. Japokuwa sio...
Kuna kisa kilitokea mtaani kwetu apa kati ya ndugu wawili walionifanya nilete huu uzi, kaka ambaye ndo mwenye mke na mdogo mtu aliyemchapia kaka yake
Kwa mujibu wa mdogo mtu anadai baada ya kaka...
Ni moja kati ya washkaji wangu wa karibu nilimchukulia kama brother na mshauri sababu alinizidi umri. Kutembea na mpenzi wake haikuwa kwa bahati mbaya, nilimjua huyu Dada kupitia yeye kazi...
Habari za asubuhi.
Leo nimeamka na hii jamani.
Rafiki yangu ana mke wake. Wao wana mtoto mdogo Kama wa mwaka mmoja hivi. Hapo awali walikuwa wanatumia sindano za uzazi wa mpango,,, lakini...