Chukua weka ndani mengine yatafuata, kwanini uumize kichwa kwenye mahari tu. Baada ya kuweka ndani wazee watakuja wenyewe mkuu.Naombeni kuuliza taratibu za kuoa binti wa kisafwa. Nimekuwa nikisikia kuna Barua na ndani iwe na pesa ,mara posa kwa binti so sielewi.. Msaada tafadhali
Hahaha sukumia ndani, piga mimba wazee watakuja wenyeweChukua weka ndani mengine yatafuata, kwanini uumize kichwa kwenye mahari tu. Baada ya kuweka ndani wazee watakuja wenyewe mkuu.