God always answers our prayers

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,346
1552103041436.jpeg

Sometimes we misinterprete his answers.
 
lakini muda mwingine pia ...tusimsingizie Mungu, unakuta Mtu anamuomba Mungu mwanaume atayempenda kwa dhati, Mungu anamletea mwanaume wa kawaida mwenye upendo wa dhati ila binti anamkataa, kinachofuatia ni kukimbizana na ma goodlookin player boyz mwishowe wana kuwa wahanga wa kupewa mimba na kuachwa..

i'm just sayin...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUWEZI KUOMBA MKATE UKAPEWA NYOKA,
MUNGU SIO KATILI, MDA MWINGINE HUWA AJIDHIHIRISHA KUPITIA VITU DHAIFU ILI KUVIDHIBITISHA VYENYE NGUVU,
TUKIOMBA KWA MAPENZI YAKE ANATUPA WAKE/WAUME TUTAKAO.
lakini muda mwingine pia ...tusimsingizie Mungu, unakuta Mtu anamuomba Mungu mwanaume atayempenda kwa dhati, Mungu anamletea mwanaume wa kawaida mwenye upendo wa dhati ila binti anamkataa, kinachofuatia ni kukimbizana na ma goodlookin player boyz mwishowe wana kuwa wahanga wa kupewa mimba na kuachwa..

i'm just sayin...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ukitanguliza maombi ya ''Eee Mungu Naomba unipe mwanamme nitakayempenda sana '' ndo unakua sahihi
 
Na usipokuwa sahihi ni pale unapotanguliza nini? Au maombi gani?
Usiombe tu kua wewe ndo upendwe bila kuonesha kua utampenda Huyo unaeomba amlete kwako. Sijui wewe ni mdada au ? duniani amna watu wawili walioanza mausiano kwa kupendana kwa pamoja. Mmoja anaanza kumpenda mwingine na mwingine umpatia nafasi aliyeanza kuonesha mapenzi ili kupima kama yale anayoyataka au kuamini kwenye kupendwa yatatimizwa then wa pili nae anaanza kupenda...hapo ndo watu utasikia tunapendana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom