Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

tumekuwa tukisoma na kusimuliwa karne nyingi za nyuma kulikuwa na viumbe kama Godzilla, dinosaurs, dragon na etc, lkn walipotea kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Na inasemekana miaka...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau hasa wanaume wenye kipato cha kawaida, ni kwa kiasi gani utam-judge mwanamke anapenda hela sana au la, kipindi cha uchumba Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau habarini za muda! Rejea kichwa cha post,Kiukweli nina hamu sana na mwanamke, kama kuna ambaye yupo single aje Inbox tuyajenge tukatoane ny*ge. Sichagui umri wala rangi cha msingi tu awe na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbunge wa kuteuliwa wa Kenya, Bi. Sonia Birdi amesema yeye yupo single mpaka sasa kwa sababu hakuna mwanaume aliyewahi kumtongoza. Wana JF kenya inaonekana wapenda Mario hakuna
3 Reactions
23 Replies
4K Views
:mad::mad::mad::mad::mad:Dada muuguzi mwandamizi wa hospitali kubwa hapa Mwanza, ali differ na mumewe mwaka jana 2018 mwezi Aprili. Kama mzaha mumewe akamwambia, nahama hapa nyumbani nakwenda...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Topic closed any incovinience coused is highly regreted
6 Reactions
205 Replies
90K Views
Habar, za muda huu wana JF. Miongoni mwetu (Tuliowengi) kwenye jamii, hususani sisi watanzania, tuna desturi ya kutumia vitu kwa mazoea, pasipo kufwata taratibu na kanuni za kitu husika. Hiyo...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Kuna mtu jinsia ya me, ananivutia sanaaaaaaaaaaaa. Yani sanaaaaaa, Kila nikimwomba Masada ananisaidia kwa kupitiliza, yani Ana care kwa kupitiliza. Ana familia yake in short ni mtu anajieshimu...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Nikiri kwanza sijawahi kupenda kabla. Sasa nimekatika #blackninja kuna Dada nimetokea kumpenda sana tatizo ni anadai ana MTU wake. Mabaharia mliushindaje huu mtihani? NB: Nampenda sanaa
3 Reactions
123 Replies
13K Views
Jamani wana naombeni ushauri mi kuna Dada nasoma nae chuo nampenda kweli naye amekuwa akidai hivyo ila kunasiku aliniomba nimfanyie kitu nikasema sawa ila kwa siku ile nikashindwa mpatia kutokana...
4 Reactions
143 Replies
11K Views
An Ethiopian man told his wife on phone that he was boarding Ethiopian airline for a business meeting in Nairobi , he even sent a text message indicating he has taken his seat in the plane and he...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenyu nyote. Natumai mmeimaliza siku yenu salama hasa ukizingatia leo wakinamama duniani wameadhimisha siku ya wanawake duniani. Basi kuna kijaruba nimekumbana nacho siku ya leo...
9 Reactions
138 Replies
9K Views
Hali tete kwenye manyumba
1 Reactions
4 Replies
839 Views
Habari wana jamvi Baada ya kula mlenda kila siku nikaamua kubadilisha ladha na kula samaki some time nashindia soda ila sasa tabu inakuja ni pale nilipoamua kuchange ladha nimepatwa na kaugonjwa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hakuna kitendo kinachoharibu mahusiano mengi pamoja Na kuleta mabalaa kwenye ndoa kama kujiharishia tendo la ndoa kabla ya Ndoa yenyewe. Wakuu kamwe asishiriki tendo la ndoa kabla hamjaoana. Najua...
15 Reactions
95 Replies
9K Views
Wakuu mambo vip Niliona mjadala fulani hivi hapa JF kusisitiza watu kuwa na wake zaidi ya mmoja na wengi wakaonekana kuunga mkono Wengi wanasema kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na hivyo...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
katika utafiti wangu nimegundua mambo machache ambayo yanafanywa na wa mama wengi, ambayo hupelekea watoto wengi kumpenda zaidi mama kuliko baba.. 1:-wazazi wengi wa kike wamekua na silika ya...
3 Reactions
176 Replies
12K Views
habari za mchana huu wana JF, Mafundisho mengi tunahimizwa kuwa mwanaume anapaswa kuwa na mke mmoja, na kama akizidisha basi atakuwa ni mdhambi(ktk imani za kikirsto), swali langu hua najiuliza...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Za weekend ndugu mabibi na mabwana wa jukwaa hili pendwa ningependa kwenda moja/moja katika mada yangu. Hivi ushawahi kupitisha siku nzima yaani 24hrs pasipo kufikiria ama kuwazia kitu chochote...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Back
Top Bottom