Mifarakano inazidi

Mifarakano inazidi

sab

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
5,744
Reaction score
4,354
Hali tete kwenye manyumba
20190313_081212.jpeg
 
Kuna uzi humu niliona member mmoja akisema kakimbia ndoa yake...Hatari sana
 
Kwa hiyo hali " sisi wengine sijui kama tutakuja kuoa

Maana mtu unajua kabisa kuwa utakuja kuoa lakini ndoa yenu inaweza kuja kuwa na asilimia chache mnoo za kudumu ...so si bora usioe kabisa Julio kujitia minuksi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha hahaaa...Fight Fittest For The Future "FFFF"

"Pili pili usiyoila inakuwashia nini?" Kaka watu hufa kwa ajali za magari lkn haizuii kesho wengine wasinunue magari hayo hayo na kuendelea kusafiria, sababu "hiyo ndiyo dunia na ndivyo ilivyo."

Back
Top Bottom