Moderators hamtendi haki

Moderators hamtendi haki

Pole mdada jamani....... kuna mtu kasema walizihamishia jukwaa jingine sasa sijui hilo ni lipi?....na kwa nn wahamishe za kwako tu..

Wewe ni mgeni humu? Ndio maana kuna majukwaa tofauti kutokana na maudhui ya kitu ulichoandika
 
Nilikuwa humu miaka kadhaa humu huko nyuma kwa ID nyingine baada nikatoweka kwa sababu mbalimbaili though nina ID mpya si mgeni sana japo wenyeji wengine humu ndani kwangu ni wageni pia....

Umetoa maelezo mengi lakini hujajibu hoja.

Toka umewahi kuweno humu hujui kama kuna jukwaa la wakubwa?
 
Back
Top Bottom