Hope mko okay na weekend, na wale tuliona kazi zisizo na weekend natumaini tunaendelea nazo vyema.
Ilikuwa na jana mida kama ya tisa hivi nikuwa pale temeke hospital nia yangu ilikuwa nielekee...
Wakuu habari zenu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi nina miaka 23 kuna demu nimetokea kumpenda hilo haikuwa nowma kimbembe kilianza pale mwanaume nilipoamua kumwambia hisia zangu alikuwa na...
Wadada ambao kila siku ukitumiwa sms na namba ngeni unaanza kuuliza _"Umetoa wapi namba yangu???_" kaa hivyo hivyo na maujinga yako wenzako wanaolewa we utabaki kuwa mpelelezi
Mapenzi Yana run dunia walahi.mwanamke Kama mliachana siku akirudi akiamua kukupanga amedhamiria hata Kama uwe na moyo mgumu lazima utulie.kama kweli ulimpenda unakuwa mpole akijiliza.makauzu wote...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Mwanamke mmoja huko nchini Kenya aitwae Annitah Raey aliyekuwa akihojiwa katika Kipindi cha DayBreak kinachorushwa na Runinga ya Citizen ya huko nchini...
SABABU 7 ZA KWA NINI KILA MWANAUME ANAHITAJI MWANAMKE SAHIHI KAMA MKEWE WA NDOA:
Kwangu kipindi ambacho kilinivutia sana ni kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Marekani.
Ni pale Obama akiwa...
Ilikuwa 90's nilizama chumbani kwa binti nipige mzigo,huyo binti tulikuwa tunasoma naye secondary. Basi bana zile wanazosema za mwizi arobaini ndo zilikuwa zimetimia. Kabla sijaanza kupiga mzigo...
Wana Janvi
Kuna ka usemi flani huwa wanatumia wakitaka kukuomba hela ukikasikia tu unajua hapa nataka niombwe hela ya matumizi mfano huwa nikisikia “ UKOWAPI” inafuatwa na “NIKAWMBIE KITU”...
#usiishienjiani leo: Watu Sahihi, Watu Wazuri.
Kwenye Maisha tunawahitaji watu sahihi. Watu Sahihi sio lazima wawe Wazuri kwetu wanaweza kuwa watu wabaya lakini ni sahihi. Kusudi la hao watu...
Kama wanawake hatufiki kileleni na hatupati tatizo lolote sasa kuna haja gani ya wanaume kufika kileleni?
Kwani ni lazima?
Au mm Demiss ni mshamba sielewi naomba mnieleweshe maana hata nikisex...
Wakuu poleni na majanga vifo na ajali tunazoendelea kizisikia...nirudi kwenye mada ninamchumba nnaye tarajia kufunga naye ndoa na nimeshaanza process ikiwa Ni pamoja na kupeleka posa bint nna...
Hello?
Baada ya muda mrefu wa masikitiko ya kuachwa na aliyekua mpenzi wangu leo ninaandika nikiwa na furaha na amani.
Kiukweli nilipoachwa niliumia sana. Niliwaza, nikaomba msamaha, nikaomba...
Katika kudadisi na kuperuzi limenijia Wazo la kutaka kujua asili, maana na sababu za wanandoa kuvaa Pete kwenye kidole chake baada ya kufunga ndoa Hasa ndoa za kikristo na imani nyinginezo kama...
Mimi ni kijana 28 yrs. Naishi dsm. Nimeajiriwa pia ninamishe zangu nyingine.
Ni mkristo.
Natafuta rafiki wa kike kisha aje kuwa mchumba hadi mke. Umri 21-27 ikiwa dsm au karibu na dsm...
Wasalam,
Juz nilikwenda kwenye msiba wa rafik yangu wa kike ambaye amefariki,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Vituko vilivyo tokea huko daah nikajua kumbe mahari ni muhimu sana kuitoa...
Historia ya kweli
Kijana mmoja anaitwa J miaka yake 18 ilitokea kumpenda mtoto wa miaka 17 ambaye ni mtoto wa mama ake mdogo (mamdogo) waliishi kimya kimya ila hazira na wazazi wao hawakujua kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.