Kwahiyo Wewe unataka Kushindana au Kubishana na Mwenyezi Mungu katika ' Uumbaji ' wake kiasi kwamba umeona aina ya Uume / Mkuyenge aliokupa na Kukubariki nao haufai na Wewe unataka uufanyie '...
Nimeshadate wanawake kadhaa lkn wakiniwahi na kutafuna vyangu hua wanasepa mazima! [emoji3][emoji3][emoji3]. Kwel nimeamini hiz n zama za kuviziana na kulipa visasi,anaemuwahi mwenzie ndo bas...
Kuna kisa kimoja cha baba mmoja aliyewahi kuwa na michepukon (kama ilivyo kawaida ya wanaume wengi). Huyu baba alikuja kuzaa na mchepuko wake mtoto wa kike na mtoto akawa mkubwa tu, zaidi ya miaka...
Sijui nguvu ndio zinaanza kuniishia au lah, Leo kama utani nimekutana na mtoto mmoja mkali nilimpania lakini alivyofika gheto nimepiga kimoja tu niko chalii mzigo haukutaka kuamka tena,
Aisee...
Habari za mida wadau. Kuna hiyo habari hapo kwamba ugoro unapunguza hamu ya tendo kwa wanawake. Je kuna ukweli kwenye hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati naanza kufanya uchunguzi wangu nilidhani kuwa ushoga husababishwa na umasikini, hali haikuwa hivyo kwa sababu mashoga wa bongo 95% wana elimu na uwezo mzuri kiuchumi.
Hii inaonyesha wazi...
Kwa wanawake si jambo la kustaajabisha hata kidogo kumwacha mumewe baada
ya kurubuniwa kwa pesa. Swali langu linakuja kwa wanaume, Linaweza kuwa swali la
ajabu lakini kwanza nikusimulie kisa...
1. Anapokuwa nawe inamuwia vigumu sana kukwambia neno NAKUPENDA mara kwa mara, utajikuta wewe ndio unakuwa mtumwa kwake kwa kumwambia nakupenda kila mara. Majibu yake baada ya neno hilo, mara...
Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiyo wameonekana ' Vinara ' wa Kujua ' Kupachika ' Mimba Wake / Wapenzi wao ambapo hadi kufikia mwisho wa mwaka huu wa 2019 Wanawake Milioni Moja na Laki Tano...
Wadau,
Je kuna wanawake ni wasafi kwenye uchi wao kiasi hawatoi harufu yoyote, Maana mpenzi wangu huwa nashindwa kuelewa, wanawake woote niliowahi kuwa nao huwa kuna muda uke unakua na kaharufu...
Natarajia yote mko swali, licha ya shilingi kupoteza grounds against the dollar,na matatizo mengi hapa na pale, Niko nimesikia kitu nataka tutoe maoni hapa na tuwe wakweli, haswa nyinyi dada zetu...
Bwana Yesu asifiwe!
Twende kwenye mada:
Je ni kweli kwamba mke/mme sahihi huja maishani mwako pasipokutegemea?
Maana nimekuwa nikisikia watu wakishauriwa " Subiri atakuja aliye sahihi, just wait"...
;););););)
Katika kuongea na wanawake wengi ambao huniomba ushauri nimegundua kitu kimoja, chanzo kikubwa cha mateso ya wanawake si ukatili wa wanaume bali ni kushindwa kuwa huru kikipato.
Kuna...
habari wakuu
Hivi kwanini manzi mkiachana kabla hujamgonga inaumiza kuliko yule ambaye mmeachana umeshamgonga.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Fundo lililozua utata baina yangu na somo yangu takriban miaka 40 iliyopita.
Ilikuwa katika matayarisho ya harusi yangu, shoga'ke kipenzi bibi yangu nae nilimwita bibi, alikuwa ananisiriba...
Mimi na mpenzi wangu tunaweza kupatana siku tatu baada ya hapo tukazinguana kidogo tukapishana kishwahili siku moja au mbili baada ya hapo tunakubaliana tena.
Kupatana kwenu sanasana kuwe...
Wandugu, mimi ni mfanyakazi wa Benki mmojawapo hapa Dar es Salaam,
1. Nimeoa mwaka wa 7 sasa, nina watoto watatu, wawili kati yao wanasoma Shule ya Msingi.
2. Dada wa kazi hapa nyumbani...
Heri ya mwaka mpya wana MMU!
Last year was one of the very successful year in my life so far in almost every angle, however that does not mean I had no challenges, big ones (which somehow made me...
Leo, Machi 8, 2019 ni siku kama siku nyingine yoyote ile katika maisha yetu lakini kinachoifanya iwe na tofauti ya kipekee ni sababu kwanza Mwenyezi Mungu katujalia kuiona leo ukifananisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.