puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,057
- 2,195
Habar, za muda huu wana JF.
Miongoni mwetu (Tuliowengi) kwenye jamii, hususani sisi watanzania, tuna desturi ya kutumia vitu kwa mazoea, pasipo kufwata taratibu na kanuni za kitu husika. Hiyo imekuwa ni kasumba ya muda mrefu sana.
Najua walio wengi (sio wote) hawana hii elimu juu ya kutumia hii mipira ya kujikinga wakati wa kufanya tendo la ndoa...maarufu Kama "CONDOM"
Kukosekana kwa elimu hii muhimu...ingawa inapuuzwa imesababisha maambukizi ya VVU kuongezeka pamoja na Watoto wasiotarajiwa.
Hii hutokana na kwamba watu wengi huacha kutumia mipira hii kutokana na sababu mbali mbali..ambazo zinaepukika, mfano....
1.Kukosa radha wakati wa tendo
2.Kusababisha muwasho na vipele kwenye viungo vya uzazi ambapo huvaliwa.
3. Kinyaa kutokana na baadhi ya "CONDOM" zina mafuta mengi (vilainishi)
4. Kuhisi ni chanzo cha magonjwa mengine Kama vile kansa n.k
Sasa...ngoja tujuzane mawaili matatu kuhusu "CONDOM"
*******. **********. *******
Unatakiwa kujua ni aina gani ya Condom unapaswa kutumia kabla ya kwenda kununua.
Hii ni kutokana na kutofautiana kwa nature( asili) za miili yetu.
Mfano, wanawake ambao miili yao (uke) hauna vipele wanapaswa kutumia yenye vipele mfano (Rough Rider), Pia wanawake ambao miili yao ni mikavu sana, haizalishi fluids za kutosha wanashauriwa kutumia condoms zenye extra lubricant kama vile wet n wild (zinamafuta mengi).
Na kwa wanaume wanaolalamika wakivaa Condoms hawapati Radha..wanapaswa kuvaa zile zenye ngozi nyembamba mfano; Bare Back.
Hayo ni baadhi tu yamachache ninayoyafahamu kuhusu hii mipira. Kwa wale wenye utaalamu zaidi wanaweza ongezea kwa faida ya wengi.
***ACHA MICHEPUKO BAKI NJIA**** *********KUU EPUKA UKIMWI*****
R. I. P
EPHRAIM KIBONDE "KIBS"
Sent using Jamii Forums mobile app