Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heri ya mwaka mpya wana MMU! Last year was one of the very successful year in my life so far in almost every angle, however that does not mean I had no challenges, big ones (which somehow made me...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Leo, Machi 8, 2019 ni siku kama siku nyingine yoyote ile katika maisha yetu lakini kinachoifanya iwe na tofauti ya kipekee ni sababu kwanza Mwenyezi Mungu katujalia kuiona leo ukifananisha na...
47 Reactions
210 Replies
19K Views
Utachukua hatua gani ukisikia/Shuhudia mke wako uliyemuoa Bado anapasha kiporo(kutinduliwa/Kubanduliwa/Kufukunyuliwa) na X wake(Mpenzi wake wa zamani)? CC Zero IQ
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika maisha ya mwanadamu hupitia hatua kuu tatu nazo ni kuzaliwa upo chini ya wazazi, kuna hatua ya kuoa maamzi yapo na familia yako na mwisho ni uzee na kifo japo haujulikani utaishi miaka...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Hivi kma mpenzi wako yuko mbali kuna ulazima wa yeye kukumbuka asubuhi na jioni? Na asipo kukumbuka inamaanisha nini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau nahamu sanaaa ila shida ni mume mwenyewe kasafiri. Mume tarajiwa sijui nifanyaje. Naarusha mvua inanyesha. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
114 Replies
11K Views
Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani. Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani. Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila...
25 Reactions
125 Replies
16K Views
.
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna hatua ambayo watu wengi ni lazima tuipitie kwa namna moja au nyingine katika maisha yetu ya hapa duniani. Hatua hii huonekana mbele ya jamii ni kama hatua yenye furaha sana na upendo pamoja...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Wadau hiv ni kwann inakua ngumu sana kurudisha koloni lako la zaman (x) .utabembeleza wee lkn no..n kwangu tu au nanyie pia yanawakuta? Au wanakutana na vidume vinavyo care zaidi mana wanakua na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Cleared
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Juzikati nilikuwa naumwa nikaenda hospital baada ya vipimo nikagundulika naumwa vitu kama vitatu malaria, typhoid na STD disease nikapewa dozi nilivyorudi geto baadhi ya watu walinipa pole na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mapenzi yana raha mkionana, milango yote ya fahamu inakuwa kazini. Macho yanafaidi, masikio, ulimi, ngozi na pua pia, ndio maana ni lazima mjiandae na kujiweka safi miili na chumba chenu kabla...
10 Reactions
107 Replies
12K Views
tumekuwa tukisoma na kusimuliwa karne nyingi za nyuma kulikuwa na viumbe kama Godzilla, dinosaurs, dragon na etc, lkn walipotea kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Na inasemekana miaka...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau hasa wanaume wenye kipato cha kawaida, ni kwa kiasi gani utam-judge mwanamke anapenda hela sana au la, kipindi cha uchumba Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rejea post zangu mlizofuta halafu niambieni kwanini mmefuta au niwaoneshe post zinazopaswa kufutwa na hazijafutwa au mnanitaka? JamiiForums Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau habarini za muda! Rejea kichwa cha post,Kiukweli nina hamu sana na mwanamke, kama kuna ambaye yupo single aje Inbox tuyajenge tukatoane ny*ge. Sichagui umri wala rangi cha msingi tu awe na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbunge wa kuteuliwa wa Kenya, Bi. Sonia Birdi amesema yeye yupo single mpaka sasa kwa sababu hakuna mwanaume aliyewahi kumtongoza. Wana JF kenya inaonekana wapenda Mario hakuna
3 Reactions
23 Replies
4K Views
:mad::mad::mad::mad::mad:Dada muuguzi mwandamizi wa hospitali kubwa hapa Mwanza, ali differ na mumewe mwaka jana 2018 mwezi Aprili. Kama mzaha mumewe akamwambia, nahama hapa nyumbani nakwenda...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom