Mbunge viti maalumu:Napenda kutongozwa maana niko single sina mtu

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mbunge wa kuteuliwa wa Kenya, Bi. Sonia Birdi amesema yeye yupo single mpaka sasa kwa sababu hakuna mwanaume aliyewahi kumtongoza.

Wana JF kenya inaonekana wapenda Mario hakuna

FB_IMG_1552548856250.jpg
 
Du!!! Kweli??
kutoka utotoni au ???
Kama Ni kutoka utotoni anamatatizo hawezi kuwa sawa!!
Mtazamo wangu huo
 
254 mmekomaa kula githeri,chapati na kuijudge leli ya sgr mpka mademu wenu wanawasahau what f**k

Sent from my using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom