Nampenda saaana nashindwa kuelewa nini shida?

Marscare255

Member
Mar 3, 2019
55
34
Jamani wana naombeni ushauri mi kuna Dada nasoma nae chuo nampenda kweli naye amekuwa akidai hivyo ila kunasiku aliniomba nimfanyie kitu nikasema sawa ila kwa siku ile nikashindwa mpatia kutokana na rafiki kuumwa nikampeleka hospital usiku wa SAA 2 lakini mambo yakawa saaafi .

kesho yake kanitafuta akidai nimpelekee lakini nilikuwa nje nacheki mpira nikamuuliza wapi akajibu Dorm nikamwambia nije akadai njoo nikamuuliza uhakika akadai eeh ukifika nambie me nikaja nikafika nikamshtua akaja lakini sikuwa nacho mkononi nikamwambia twende hivi akasema kama unanipa nipe kama hunipi nambie me niende me nikamjibu ngoja nikalete dorm nilipotoka huko nikamwambia njoo uchukue akakataaa.

Nikamlazimisha akagoma ndo Jana nikamwita nikamwambia mbona ivoo akadai hataki nikamwambia saaa me nitaipeleka wapi akadai katupe me nikamwambia nashindwa mana niliandaa kwaajili yako kama vipi nikupe utupe meenyewe akaniulza kwani ipo wapi nikamwambia dorm akadai kalete nikampa tukaongea kama dk 5 nikaachana nae ila toka Jana hujanijibu text .

Jamani msaada nifanyaje


 
Kimsingi hujamkosea chochote kwanini uteseke?

Sasa cha kufanya hebu mkaushie kama week hivi uone atakavyoanza kujirudi
Wanawake bhana akili zetu tunazijua wenyewe..usioneshe udhaifu​

Shukrani, kwa akili hizi nina imani hatutasumbuana kama hao.
 
Kimsingi hujamkosea chochote kwanini uteseke?

Sasa cha kufanya hebu mkaushie kama week hivi uone atakavyoanza kujirudi
Wanawake bhana akili zetu tunazijua wenyewe..usioneshe udhaifu​
Joanah huwa mpoje nisaidie Hapo tuwajue mrivyo na ukijua udhaifu inakuwaje nisaidie nijue kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom