Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Pesa kwanza. Mm nikimpendaga dem na kumpata ni kazi, nampa wiki mbili tuu naingia chimbo kutafuta pesa. Nikirudi namwaga noti balaaaa kabisa. Wala hatathubutu kusema ana mtu wake.

Kama huna pesa tulia tuu.

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Mkuu hio mbinu nimetumia lkn inagoma kinachoniuma Nampenda kweli
 
Nikiri kwanza sijawahi kupenda kabla.

Sasa nimekatika #blackninja kuna Dada nimetokea kumpenda sana tatizo ni anadai ana MTU wake.

Mabaharia mliushindaje huu mtihani?

NB: Nampenda sanaa
Muue huyo mtu wake. Hakuna mtihani wala nini, HAKUTAKI mbona kawa mstaarabu. Othwerwise vuta subira amchoke kama kumuua mpenzi wake huwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom