Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 757
Hakuna kitendo kinachoharibu mahusiano mengi pamoja Na kuleta mabalaa kwenye ndoa kama kujiharishia tendo la ndoa kabla ya Ndoa yenyewe.
Wakuu kamwe asishiriki tendo la ndoa kabla hamjaoana.
Najua wengi watabisha kwasababu hiki ni kizazi kilichotawaliwa na ngono.
Lakini ukweli utabaki huo huo. Nothing kills relationship like sex before marriage.
Ushauri wangu, ili kuepuka vishawishi basi anzisha UCHUMBA pale utakapokuwa umejiona upo tayari kuona /kuolewa.
Achana Na mahusiano ya girlfriend Na boyfriend. You will lose your time and resources.
Sex before marriage is a curse.