Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

hivi kwanini mnakuaga na kisirani katka mambo yasiyo na maana? hivi ukiniambia unanipenda na nipo mazingira tata nikashindwa kujibu nakupenda pia kwann unune siku nzima? kwani hamjuagi kama...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina House Girl nimekaa nae mwaka wa 10 sasa...nimemchukua akiwa na Miaka 18 sasa ana Miaka 28 Ananiambia kuwa alienda Mlimani city mwezi January wakati nipo Msibani Moshi akatongozwa na Kaka...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Ukipita katika mitandao mbalimbali ya kijamii mijadala ya MAPENZI inaoneka kuwa na mashabiki wengi Sana ukilinganisha na maada nyingine. Humu mitandaoni na katika apps store mbalimbali kumekuwa na...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Mtafute shetani na uangalie sifa zake. Kisha jitahidi kuziiga kwa bidii sana! Umeshaona shetani akichorwa picha huwaje?Jibadili uwe na taswira yake.Utapendwa na kila mwanamke Unajua zile sifa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi Kwakuwa nimekulia kijijini sitosahau siku moja Niliingia na demu wangu kichaka kimoja hivi mbaaali na Kijiji. Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa mbili hivi. Ulikuwa usiku ambao mbalamwezi...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
wadau kuna demu mmoja hapa kitaa yaani ni bakora mtoto mzuri kinyama yaani,basi mdau nikamzimikia nika anza kumlia misele japokuwa mdingi wake ni mkali lakini nikakomaa,nikafanikiwa kumwaga sera...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana JF Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV. Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management. Natafuta mwenza...
5 Reactions
88 Replies
10K Views
Mimi ni binti wa miaka 26,ninaishi na VVU natafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mimi ni mrefu,mweupe kiasi na Nina bachelor. Sent using Jamii Forums...
6 Reactions
65 Replies
8K Views
... Wanandoa wengi wameingia katika ndoa aidha kwakuwa jamii imewaaminisha kuwa mwisho wa mahusiano ni ndoa, wamedumu katika mahusiano kwa muda mrefu na wanafikiri inabidi waoane, marfiki zao wote...
1 Reactions
1 Replies
920 Views
Ass = No boobs Boobs = No Ass Ass+Boobs = Ugly Face Beautiful Face = No Boobs, No Ass Beautiful Face + Boobs + Ass = No Brain HENCE PROVED Sent from my iPhone using JamiiForums
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine nakuja mbele zenu wadada nikiwa na ombi lile lile: Natafuta mwezi wa maisha. Sifa zake - Awe mrembo / mzuri sana. Hapo sina-compromise aisee. Kama sio mzuri pita mbali. - Rangi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
LEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani. KUWA BIZE SANA Wanandoa wengi hawana muda wa kupumzika...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Japo kazeeka lakini kila nimwonapo nakumbuka alivyotikisa enzi hizo pale kijijini mpaka kupelekea mimi kupata mkasa huu nyumba yao ilikuwa inapakana na shamba la migomba hivyo...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Nahitaji msichana ambaye tutaingia ktk mahusiano ya mume na mke. Sifa za anayehitajika -mkristo -umri asizidi miaka 25 -awe hajawahi kuzaa -awe mzuri, (mbaya wa sura na shepu atanikinai mapema)...
0 Reactions
93 Replies
7K Views
Habari wakuu Natumani mnaendelea vema,tumevalishana pete za uchumba na mpenzi jambo la kushangaza mahali pete ilipo kidoreni kuna maumivu makali napoivua hali ni shwari shida inakuja napoivaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadada wengi wanapenda kuwa na wapenzi ambao wako vizuri kiuchumi,bila kujua kuna aliyetaabika au kuvumilia na kumtengeneza huyo muhusika na kuonekana machoni mwao. Kufanya hivyo ni utapeli na...
6 Reactions
113 Replies
8K Views
Bila kupoteza muda... Eti wanabodi hivi ni kwanini miez 6 ya mwanzo ya mahusino huwa inakuwa ni migum sana?? Wengi sana hapa huwa tunapasikiaga tu, mahusiano mengi hayazidi hapo huo ndo ukweli...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ya 15 Duniani Ya 3 Africa Kwa malavidavi 💝💕💚💓♥ 💖💞💗💙💜❤
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ulimkuta kwao/kwake akiwa mzima na mwenye afya tele, akiwa na mavazi na uwezo wa kujikimu shida zake kadhaa. . Kwa unyenyekevu na maneno matamu ukaomba kuwa nae, ukaomba mfunge ndoa/muishi pamoja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom