Housegirl wangu amepata mchumba Mlimani City

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Nina House Girl nimekaa nae mwaka wa 10 sasa...nimemchukua akiwa na Miaka 18 sasa ana Miaka 28

Ananiambia kuwa alienda Mlimani city mwezi January wakati nipo Msibani Moshi akatongozwa na Kaka Mmoja wakapeana namba za simu.. Kwanza akijua muhuni Tu wa kutupa

Akaamua kujiongeza akaongea na rafkiangu amsaidie kujua kama Huyo bwashee NI jambazi au raia akakuta jamaa hajaoa anatafuta mke wa kuwowa... anafanya KAZI Banki moja hapa Dar... Hana mtoto na wamepishana Miaka 10

Mahari nimepokea jana na mume wangu na leo tumeenda KUTOA sadaka ya shukrani Kanisani Ibada ya Kwanza

Fundisho la somo hili NI kwamba:
Kuna watu naskia mmegoma kwenda Mlimani City kisa mitoto ya chuo kibao na ma-housegirl
Kumbe mnapishana na miujiza yenu 😂😂😂

Mlimani City Oyooooo!

Kwa wale mnaopenda utomaso Karibuni mumchangie housegirl wangu ili kwenye sendoff mumwone bonge la bwana aliempata

Msikate tamaa akina singo leidiii muendage mlimani city jamaa yeye anasema alienda siku ya jumamosi..
 
Naona umefanya research kuwa wanaume wengi wanapenda wanawake la saba au form four sasa unataka kushawishi kuwa hawa wadada mlimani city pia wapo.
 
Nitashangaa atakayeamini story yako. Isije ukamuuza mtoto wa watu kwa viBenten vyako
Sina dhiki ya mboo za vibamia vya Ben10
Mume wangu ana hoogo...waache wasichana wapate ndoa acha wivu
Kama hutaki kuoa kimpango wako
 
Hehehe... Si NI kama hivyo jamaa kaopoa hosue girl huko huko mlimani city...

Ina maana ni kweli wamejazana watoto wa chuo na ma-house girl...


Cc: mahondaw
 
Sina dhiki ya mboo ya kutafuta Ben10
Mume wangu ana hoogo...waache wasichana wapate ndoa acha wivu
Kama hutaki kuoa kimpango wako
Mumeo angekua hivyo usingeleta kila kukicha vistory vta kusaka Vibenten hapa JF.
 
Hehehe... Si NI kama hivyo jamaa kaopoa hosue girl huko huko mlimani city...

Ina maana ni kweli wamejazana watoto wa chuo na ma-house girl...


Cc: mahondaw
Hahahahahaha NI sheeedah
Me nimeamua kuangaliaga movie room kwangu au kwenye simu
Maana ni sheedah mlimani city kumekuwa gumzo
Ila sio mbaya naozesha mwenzio karibu
 
Mumeo angekua hivyo usingeleta kila kukicha vistory vta kusaka Vibenten hapa JF.
Hamna alieleta stori hizo
Unajishtukia bro
Sina shida na vibamia vya Ben 10
Ninalo Punda langu kila siku nalipanda asubuhi mchana Jioni na usiku wa manane, ananitosheleza
Nawahurumia nyie mnaohangaika na kulia Lia wanawake hamna wanawake ....wamebadilika wanawake wabaya... Kumbe shida ipo Kwa walalamikaji mnapeeenda ubwete kama sio ganda la ndizi au mdebwedo
 
Hahahahahaha NI sheeedah
Me nimeamua kuangaliaga movie room kwangu au kwenye simu
Maana ni sheedah mlimani city kumekuwa gumzo
Ila sio mbaya naozesha mwenzio karibu

Aura Mall hapana ushamba sana, Mkuki mall hapana ushamba sana, Dar free market hapana ushamba sana, ila Mlimani city mall daah watu wanazagaa zagaa tu bila shughuli maalum...

Tutakaribia na mahondaw wangu...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom