Msichana aliye tayari kuolewa anahitajika

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,368
3,358
Nahitaji msichana ambaye tutaingia ktk mahusiano ya mume na mke.

Sifa za anayehitajika
-mkristo
-umri asizidi miaka 25
-awe hajawahi kuzaa
-awe mzuri, (mbaya wa sura na shepu atanikinai mapema).
-awe mtulivu wa akili na nafsi, siyo anatamani kila kitu duniani
-awe tayari kunipenda mm kama mm siyo vitu, maana mapenzi siyo vitu.
-asiwe anatumia kilevi chochote.

Kama una sifa hizo na unapatikana mikoa ya Moro, Pwani, Dar na Tanga nipm.

Ni kwa walio serious tu.

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom