Yamenikuta mwenzenu!

Yamenikuta mwenzenu!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika sehemu husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda,au ndo style mpya ya kukomoana?.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika swhwm husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
#Wooo0000z@aaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika swhwm husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 mbona sijaona tatizo hapo
 
Hahaha Ulitaka ukamle Hatimaye ukaliwa wewe....

You are strong than what you think...
 
Kwa wale wenzangu team fwisi nadhan mmeshakutana na hili,nilikutana na dem mkal kwenye daladala nikaomba no.,baada ya muda nikaanza tongozo,appointment ya kwanza ilikua ya kujuana ..sasa hii ya pili ndo iloniacha hoi..dem kaomba tuonane mahali ila nivae kiheshima! Nkamuuliza kwan kuna nn! Akakataa kunambia nkasjisemea anyway ngoja niende, nikavunja kabati kama kawaida,nkaulamba..nikafika sehemu husika ...sikuamini macho yangu kumbe ni mmoja wa wale wanaofanya biashara za marketing! Wakaanza kunihubiria cjui kuna bidhaa tunauza..blaa blaa,utapata dolla 200 cjui nn huko!! Kiukwel nilikasirika sana,nilijipanga kwenda kula vituz nakutana na mahubir.Wanawake wenye tabia kama hiz muache,mnatupotezea muda,au ndo style mpya ya kukomoana?.uzi tayar[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaahaaaaaa....! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....! Umenikomoa tu hapo kwenye “uzi tayari”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada ni noma 😀, sipati picha ulivyojiandaa kimahaba mahaba
 
Back
Top Bottom