UNAIPENDA NDOA AU WAIOTA NDOA!?

UNAIPENDA NDOA AU WAIOTA NDOA!?

CHAFLOM

New Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
2
Reaction score
7
... Wanandoa wengi wameingia katika ndoa aidha kwakuwa jamii imewaaminisha kuwa mwisho wa mahusiano ni ndoa, wamedumu katika mahusiano kwa muda mrefu na wanafikiri inabidi waoane, marfiki zao wote wamekwishafunga ndoa au wamelazimika kuingia katika ndoa wakiamini bila ndoa hawataheshimika.

... Matokeo yake ni watu walio katika ndoa lakini wanaishi kama bachela. Mwanaume anataka kujenga anakimbilia kumuuliza mama yake mzazi na sio mkewe, mke anaambiwa na mumewe tuongeze mtoto wa pili anasema ngoja kwanza nikamuulize mama kama ni sahihi.

Unabaki unajiuliza hawa walijua wanafuata nini kwenye ndoa au waliambiwa tu waingie kwenye ndoa na watajifunzia humo humo? Hebu tutafakari...
 
Hayo yote ni maisha tu mkuu

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom