Wadada, tengenezeni wapenzi wenu

Wadada, tengenezeni wapenzi wenu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,116
Reaction score
64,149
Wadada wengi wanapenda kuwa na wapenzi ambao wako vizuri kiuchumi,bila kujua kuna aliyetaabika au kuvumilia na kumtengeneza huyo muhusika na kuonekana machoni mwao.

Kufanya hivyo ni utapeli na kutomtendea haki 'the founder'.

Nawashauri dada zangu, tafuteni chokambaya umtengeneze na baadaye ule matunda halali ya nguvu zako au uvumilivu wako.
 
Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo tuanze upya..! Maana nimeanguka ndiyo nasimama upya..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]...mbavu sina!

Umeongea ukweli ambao wengi hawawezi kuusema hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini kipofu akamuongoza kipofu mwenzake?
Mwaya usikubali mwanaume choka mbaya.
Atakuambukiza hali yake mbaya
Umaskini ni matokeo ya uvivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kumtengeneza tuu,.na kumuombea pia kama unampenda kweli,unadhani ni wote unaoanza nao from zero to hero wanabaki vilevile[emoji2]??wengine wanabadilika wakishakua ma hero lol..
Yaani unapiga goti kumuombea mtu.wewe ya kwako kwa mungu yamekamilika? Girl love yourself.
Mungu naomba anifanye tajiri sio aniletee mwanaume tajiri. Kwanini mafanikio yangu yapitie kwa mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unapiga goti kumuombea mtu.wewe ya kwako kwa mungu yamekamilika? Girl love yourself.
Mungu naomba anifanye tajiri sio aniletee mwanaume tajiri. Kwanini mafanikio yangu yapitie kwa mwanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui kuwa hata hapo ulipofika ni kwa neema tuu,tena unastawi pengine kwa maombi ya hata usio wajua ukiachia wazazi wako..

Kumuombea mtu wala si dhambi,.tumefundishwa upendo pamoja na kuombeana mema na wala si mabaya.
 
Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anakua ameisha tengenezwa na mtu na wewe unaenda kutafuta nini hapo
 
Nilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???

Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Je ikitokea na wewe umemaliza kusomeshwa then unaamua kumuacha,je anaruhusiwa kukuuwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom