Miezi sita ya mwanzo ya mahusiano

Miezi sita ya mwanzo ya mahusiano

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,512
Bila kupoteza muda...
Eti wanabodi hivi ni kwanini miez 6 ya mwanzo ya mahusino huwa inakuwa ni migum sana?? Wengi sana hapa huwa tunapasikiaga tu, mahusiano mengi hayazidi hapo huo ndo ukweli.

Eti wanabodi shida ni nini?? Wazoefu tupeni somo leo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom