jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 262
- 509
hivi kwanini mnakuaga na kisirani katka mambo yasiyo na maana?
hivi ukiniambia unanipenda na nipo mazingira tata nikashindwa kujibu nakupenda pia kwann unune siku nzima? kwani hamjuagi kama mnapendwa wakuu.
kuna mazingira hasa ya ofisini huwez kuropoka ropoka tu, tupen break basi.