KUNA SIRI GANI KATIKA KUFANYA MAPENZI?

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
438
507
Ukipita katika mitandao mbalimbali ya kijamii mijadala ya MAPENZI inaoneka kuwa na mashabiki wengi Sana ukilinganisha na maada nyingine.
Humu mitandaoni na katika apps store mbalimbali kumekuwa na Wimbi kubwa la Mabinti wakiwa wamevalia vijichupi, sio chupi.
Mapaja yamepakwa Mafuta ya mgando yanawaka hatari kuhamasisha vijana wakafanye ngono.
Kuna Nini kwenye hii Sekta zaidi burudani.
 
1. Uchumi mgumu
2. Waoaji hakuna mengine yanazidi kuwa mashoga.
3. Wenye uthubutu wa kuoa hawana nguvu za kiume.
4. Inafikia hatua wanawake wanatutega tu ili mambo yaendelee

Usishangae hayo ndiyo maendeleo, huja na mamboleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom