Kutokana na utafiti wangu mdogo nilioufanya na malalamiko mengi katika mahusiano ya mwanaume kwa mwanamke, kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea ni raha sana...
Habari za Usku Wakuu.
Nmepata swali hili ktk pitapita yangu mtandaoni na watu wamejadiliana mpaka unacheka na kufurahi.
Ni hivi watu walikuwa wanajadiliana juu ya nani ni muongo zaid ya mwenzake...
Wakuu habari.
Mwenzenu nimekwama. Tena sana. Mimi ni mfanyabiashara. Si mdogo sana na wala sio mkubwa.
Katika mishe zangu nimenunua ka usafiri kanisaidie hapa na pale. Nina Toyota Spacio, namba...
Amani sana bosess
Dha! Sometimes kuwa na mahusiano na mtu anayekupenda raha sana, nime mkumbuka kuna kipindi nilikua na mahusiano na mdada flani alikua ananipenda hadi nilikua naona hii mbona...
Daah demu anashangaa sana kwanin nachukua muda mlefu kutoa jibu, ameshaniambia anayonauli ya kuja huku ni mimi nimpatie ruhusa, lakini swala la yeye kutoroka home kwao linaniumiza kichwa...
habarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na...
Naomba niseme kua maisha yamebadilika na sio kila mtu anaetafta mchumba mtandaoni kua hafai.
Baada ya kutoa hiyo tahadhari narudi kwenye mada, wanawake wengi wanaotafta wanaume humu jf wengi hua...
Nilikuwa najiuliza sana inakuwaje mwanaume mwenye akili timamu unamwacha mwanamke ?
Mama zetu walikuwa wepesi sana kueleza mabaya ya baba hata wakaachana.....lakini sijawahi kusikia baba anasema...
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosomeka Hapo Juu ...., Naitaji Mwanamke Ambaye Yupo Serious And Not 4 Joke
SIFA ZANGU
Nina Miaka 26
Muisilamu
Mjasiliamari
Elimu: Nimeishia Ngaz cheti
SIFA ZA...
Nimesikia kwamba warangi wenyewe OG wako vizuri kunako 6 kwa 6
Leo nipo huku kondoa mishe mara moja nimeshaweka booking kwa mtoto mmoja wa kirangi soon anaingia hapa na msosi wa maana nikishakula...
Wakuu habar,,,
Kwa kuanzia tu, toka nijiunge humu huu ndio Uzi wangu wa Kwanza na nimejifunza mengi Sana toka niwe member humu, Leo nimekuja na ombi moja tuu, baada ya Kuwa na mahusiano mengi...
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za...
Katika maisha ya mapenzi kuna changamoto mbalimbali tunazopitia hasa kipindi unapoanza kumtongoza mwanamke!
Nimeshawahi kununua zawadi Mara 4 kwa nyakati tofauti na hazikuwafikia walengwa!
Unakuta...
Habari zenu wanamalavidavi,
Ile shida ya Mwanza imeanza kunisumbua. Hii shida tulikuwa nayo kwenye mahusiano miaka ya nyuma, ikatokea kuna shida nyingine ikatuma meseji kimakosa kwenye simu yangu...
Je tunaoa ili iweje?
1:Kufanya mapenzi
2:Kuzaa watoto
3:Kujenga nyumba
4:Kupata msaidizi
5:Kusaidiana kazi
6:Kupikiwa
7:Kufuliwa nguo
8:Kulala pamoja
Lakini tukumbuke ata usipooa hivyo vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.