Unataka kupendwa na mwanamke?

Unataka kupendwa na mwanamke?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,633
Reaction score
7,021
Mtafute shetani na uangalie sifa zake.
Kisha jitahidi kuziiga kwa bidii sana!
Umeshaona shetani akichorwa picha huwaje?Jibadili uwe na taswira yake.Utapendwa na kila mwanamke
Unajua zile sifa mbaya mfano ukatili,ulevi,uvutaji bangi na u gangster?Hakuna mwanamke havutiwi nazo!
Ukiwauliza watakuambia wanapenda mwanaume mpole muungwana lakini moyoni ni tofauti!
Akikutana na mtu katili mbabe huwa hawamwachi wala kumsaliti.Atampa sifa zote uzijuazo
Ni mwanamke kiumbe mtata ambaye ni vigumu kumwelewa.
Ukimpenda sana hujenga kiburi na dharau.Ukimfanyia ubabe unapata heshima na mapenzi hadi atayatangaza redioni!
Shetani ni rafiki yao mkubwa.Mwanamke yuko tayari kukuwishi siku ya birthday yako na kukuambia more money hata kama anajua wewe ni jambazi..
Hawaogopi fedha ya damu na watakutaka uwe mwanaume hata kama ni kwa kutoa kafara!
Wanawake ni viumbe pekee tulioonywa tuishi nao kwa akili.Na watu wenye akili wanapata shida sana kuishi na viumbe hawa!
Hawana msimamo.Wanabadilika muda wowote.Tena kwa sababu ndogo sana.
Ni wazuri wa kulipa kisasi.Na wakiamua huwa hawasamehi.Lazima watatekeleza.

Leo wapo kwenye harakati za kuupindua ulimwengu.Watafanikiwa maana kwa msaada wa rafiki yao mkubwa(shetani),wameanza kufanikiwa kudhoofisha kizazi cha wanaume.Sina uhakika tutaishia wapi!!
 
Acha kulia lia mtoto wa kiume....! Who cares wakitaka wapindue tu dunia
 
Sawa mkuu ngoja waje kuthibitisha.
 
Taifa, jamii, au familia yenye watoto wengi wakike kuliko wakiume ni mfu.
.
Sasa hivi maandiko hayafanyi kazi tena ni kama yamepitwa na wakati ndio maana laana nyingi zinatuandama, sasa hivi Mwanamke hazai kwa uchungu tu bali na kula anakula kwa jasho maajabu haya! Wanaume nasi siku hizi hatuli kwa jasho tunakula kwa AC ya south korea.
.

Kama familia yenu ina watoto wengi wakike kuliko wakiume ndio ukoo wenu unavyopotea, Kardashian baada ya miaka 30 ijayo watasahaulika kabisa.
.
Kwa kuwa wameamua kutufanyia ukatili wa kijinsia basi nasi hatuna budi kuwa kama wafuasi wa MAIDENHEAD au Manchester united #InDevilWeTrust
 
N kweli kabisaaa mwanamke ukiwa mpole lazima akupande kichwani
 
Zaidi ya lile tunda.., hujui tuliongea nin kingine na huyo mshkaji so njoo taratibu.... Kama tunda tuu hali tete sijui tukiamua hayo mengine itakuaje.....na acha kumuongelea kwenye michoro coz kiuhalisia mjamaa amekamilika kila idara
 
Waachen mama zetu wapumzike kila sku mnaamka na wao tu
 
Mi nilifanya hivyo vyote lakini nimekosa nikajikausha tu mambo yakaendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom