Tina wa Kigogo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,116
2,000
Japo kazeeka lakini kila nimwonapo nakumbuka alivyotikisa enzi hizo pale kijijini mpaka kupelekea mimi kupata mkasa huu nyumba yao ilikuwa inapakana na shamba la migomba hivyo kila jioni nilifika migombani na kurusha jiwe kwenye paa la nyumba yao naye hutoka na kuja, tulichokosea ni kwamba hatukubadili mbinu, kumbe mamaake akawa kashtukia kale kamchezo bwana, siku hiyo nimetinga viwalo vipya nikatia timu kwenye venue yetu, nikarusha jiwe, dakika chache baadae nikaona mtu anatoka na sufuria kabla sijatafakari vema nikajikuta nimemwagiwa ukoko wa ugali na mamaake huku akinisindiza na matusi ya kipwani, break ya kwanza ilikuwa home, nanuka ukoko mwili mzima huku natetema kwa baridi.

kwakweli kila nikikutana na Tina huwa nakumbuka mkasa huu.
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
Kuna moja ilitokea sumbawanga, kwa wale waliowahi ishi huko watakubaliana nami nyumba nyingi zina wigo wa majani yanaitwa masanza (Andropogon spp). Kisa kilikuwa hivi:

Kutokana na familia ya binti kuwa geti kali na yeye kutamani kudo ilikuwa ngumu sana kutoroka kwao na kwenda kwa kijana. Akili ikabidi iwacheze hawa 'wapenzi' ilimkufanikisha azma yao. Binti alikuwa anahakikisha anaosha vyombo nyakati za usiku kama sa1-2 hivii ili asishtukiwe. Kuosha kwenyewe kulikuwa kunasindikizwa na nyimbo za kanisani, mara kusugua sufuria kwa mchanga (inatoa sana sauti).

Technique ni kuwa binti anaenda kuosha vyombo akiwa hana kufuli alafu anasogea karibu kbs na wigo wa masanza na jamaa kwa nje anakuja na kuweka dushe lake kisha mchezo unaendelea.

Haya mambo bwana sijui tuyazuieje kwa wadogo zetu, ngumu mno kushtukia baadhi ya techniques
 
Haahahahaaa Mbinu haziishi na binadamu halindiki kamwe
 
sungura1980

JF-Expert Member
May 20, 2013
1,911
1,195
mshana jr hivo visa vyako hivo,unaweza kuandika kitabu!!Sitasahau siku kyupi ya demu wako ulipoidondosha mbele ya mdingi wako!!
 
Last edited by a moderator:

kirumonjeta

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
3,959
2,000
Alaaaa!!!Utasababisha watu waondoe uzio wa masanza sasa.
Kuna moja ilitokea sumbawanga, kwa wale waliowahi ishi huko watakubaliana nami nyumba nyingi zina wigo wa majani yanaitwa masanza (Andropogon spp). Kisa kilikuwa hivi:

Kutokana na familia ya binti kuwa geti kali na yeye kutamani kudo ilikuwa ngumu sana kutoroka kwao na kwenda kwa kijana. Akili ikabidi iwacheze hawa 'wapenzi' ilimkufanikisha azma yao. Binti alikuwa anahakikisha anaosha vyombo nyakati za usiku kama sa1-2 hivii ili asishtukiwe. Kuosha kwenyewe kulikuwa kunasindikizwa na nyimbo za kanisani, mara kusugua sufuria kwa mchanga (inatoa sana sauti).

Technique ni kuwa binti anaenda kuosha vyombo akiwa hana kufuli alafu anasogea karibu kbs na wigo wa masanza na jamaa kwa nje anakuja na kuweka dushe lake kisha mchezo unaendelea.

Haya mambo bwana sijui tuyazuieje kwa wadogo zetu, ngumu mno kushtukia baadhi ya techniques
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,116
2,000
Lazima mshana jr alikutana na hiii kitu zama zile za mawasiliano ya S.L.P
Wakati huo tukishikishwa kila kitu kama kasuku.
VIJANA MPO??????
TUPO TUPO KABISA KWA JEURI YA CHAMA IYEBA WAAAAAAA

hahahahaaa enzi za barua za mapenzi zenye chata la mkuki moyoni
 
Last edited by a moderator:

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,116
2,000
Ina maana tangu tukio hilo ndo hamkuendelea tena kua wapenzi

mamkachara tuligundua kosa tukabadili mbinu, baadae tina aliondoka kijijini na kuja mjini kabla yangu, alikuja kuolewa na mpemba pale kigogo sambusa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom