Eneo gani zaidi la hatari umewahi kufanya mapenzi

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Mimi

Kwakuwa nimekulia kijijini sitosahau siku moja

Niliingia na demu wangu kichaka kimoja hivi mbaaali na Kijiji. Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa mbili hivi. Ulikuwa usiku ambao mbalamwezi ilikuwa inawaka kwa kufifia hivi.

Baada ya kufika eneo la tukio binti alitandika kanga chini na kuanza kubonyezana bonyezana maeneo muhimu, , , Mara mzee baba nikaanza kudumbukiza ile Mambo..

Baada ya dakika chache,, nikasikia Kama kitu kimenidondokea mgongoni, kwakuwa utamu ulikolea nilihisi Kama kijiti flani the laini laini. Ila songi lilikatika baada ya kugundua kumbe aliyedondoka alikua ni NYOKA. duuuuuuh hiyo purukushani ilikuwa Ni zaidi ya muvi aisee.

Tulikimbia Kwanza na kuacha Kila kitu pale.

Jamani "kasumba hizi duh"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi niliwah mgonga demu chini ya mkuyu time kam saa saba kuelekea saa nane usiku kijiji flan mwanza na siku nyingine njiani kabisa nayo mid night alafu alikua anatoroka kwao ana watoto anawaacha wamelala peke yao anakuja kula mashine na vitu vipya anavyo vionaga ktk movie
siku moja napata story kutoka kwa mzee mmoja kuhusu ule mkuyu nilishtuka mnoo anasema " ule mkuyu pale njia panda aliuwawa mtu akazikwa pale kunakipindi mida ya usiku ukiwa kwa mbali unaona unawaka moto mkubwa tu "
nilikuja kuumuliza yule demu ye anajua vyema ila ye anamashetani yake( ni crossbreed baba mzanzibar mam msukuma) kukiwa na hatari anajua maana kichwa kitaanza kumuuma mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi

Kwakuwa nimekulia kijijini sitosahau siku moja

Niliingia na demu wangu kichaka kimoja hivi mbaaali na Kijiji. Nakumbuka ilikuwa usiku wa saa mbili hivi. Ulikuwa usiku ambao mbalamwezi ilikuwa inawaka kwa kufifia hivi.

Baada ya kufika eneo la tukio binti alitandika kanga chini na kuanza kubonyezana bonyezana maeneo muhimu, , , Mara mzee baba nikaanza kudumbukiza ile Mambo..

Baada ya dakika chache,, nikasikia Kama kitu kimenidondokea mgongoni, kwakuwa utamu ulikolea nilihisi Kama kijiti flani the laini laini. Ila songi lilikatika baada ya kugundua kumbe aliyedondoka alikua ni NYOKA. duuuuuuh hiyo purukushani ilikuwa Ni zaidi ya muvi aisee.

Tulikimbia Kwanza na kuacha Kila kitu pale.

Jamani "kasumba hizi duh"

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua nyoka aliyekua juu ya mti alimuona nyoka wako ndio maana akashuka ili wacheze pamoja.

Maendeleo hayana chama
 
SIKU MOJA nimekula mke wa mtu, baada ya kusotea sana. kumbe jamaa amesha stuliwa na wambeya ila hakuamini kwa jinsi nilivokuwa mploe sana, jioni moja hivi nikakutana na huyu manzi karibu sana na nyumbani kwa bibi yangu, bila kukosea nikamkumbushia akajibu haraka haraka '' sawa mi nakusiliza wewe'' mimi hapo sasa moyo mbiyo na mshine ndo usiseme kabisaa kama nachelewa vile basi bila ajizi tukajivuta kwenye shamba la mihogo katikati ya matuta,na hapo ujue giza tayari limesha ingia. Basi ili nifurahie tunda la mchezo nikavua nguo zote nikaanza mechi haikuchukua dakika mbili nyingi mwenye mali huyu hapa mbaya zaidi anatokea upande ule niloweka nguo zangu.Bila kuchelewa wana JF. kwa kujua mke wa mtu sumu, nikakimbia hivohivo yaani uchi nikajibamiza kwenye chaka mneso paaa! likanirusha nyuma kwa kasi fyuuuu! mbaya wangu kapitiliza swiii! nika msikia ameguna immm! nikakimbia zaidi kwa mwelekeo mwingine, mpaka nikampoteza maboya. lakini bado niko uchi nifanyeje sasa? Nikakata shauri nirudi nyumbani kwa bibi make kulikuwa na kajisherehe fulani hivi siku hiyo. ile nafika tu namkuta dada binamu anasogoa nje na wenzake wanaangalia watu wanavyo cheza muziki wa kienyeji. nikamnyatia ili nichukue kanga alokuwa amejitandia mabegani mwake. ile nachukua tu! mamaaa! akastuka akaruka na kupiga kelele jamani mchawiiii!. nafwaa mie! Babu kabwata kwa mbali nani huyooo! kamataaaa! mijemba ya usalama wa shughuli ikachomoka fwiii! yuko wapi? kwa usoooongo! duuu! e ebanae!

Nikaona hakuna jinsi tena kitakachonisaidia hapa tena ni mbiyo, nikatoka nduki kama mbwa mwizi! mijemba kibao ikanifukuza na mmoja alipatia mtama lakini hakuwa makini niliyumba tu. nikashika speed nika waacha mbali sana. Ila sasa ikabidi netembee chaka kwa chaka Kukwepa watu.mpaka nika fika home. ajabu ni kama nilipata tu uzoefu sikukoma .jamani!
 
Ikawa je kwa mwenye mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha...Nyoka alitaka na yeye mgegedo.

Ungemwachia Apige hata kimoja tu.

"Enough of No Love"
 
Umenivunja mbavu sheikh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom