Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae...
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
Hasira za mara kwa mara katika mambo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi na virusi vya ukimwi natafuta msichana mwenye hali kama yangu awe mke wangu dini awe mkiristo,umri usizidi 25.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Rfiki yangu wa karibu sana zile dizaini za kutafutana kila jioni ,mimi ni mtu ambae naweza kukuambia sasa natoka na nani na kikweli moyo wake uko wapi ,hata mke wake first time anamutongoza...
Haya ni majaribu kweli kweli. Haka kadogo naona kanataka kunipeleka segerea na nikikumbuka jamaa wa bukoba yule mwalimu kapewa miaka 60 ya kutosha.
Haka kamwanafunzi ni jirani yangu kama mita 300...
Watu wengi wanasifia wamama wa kichaga ni wapambanaji .ni kweli sikatai .ila wamama wa kihaya kwangu Mimi ndo top.
Kwa utafiti wangu ,wengi niliokaa nao.japo hawana kazi Wala biashara nadhani...
Wahenga walisema dunia ina mengi na wengine walisema dunia imevaa koti.
Watu wawili ambao ni baba na mwanaye wameoa mabinti mapacha wilayani Kisarawe Pwani. Inadaiwa baba alilazimishwa kuoa akiwa...
Hapa ndipo naona kuwa wanawake wanaenda sawa na manyanyaso ya wanaume
Hili NI kisa cha pili ya kwanza mwanamke alitoa figo Kwa mumewe lkn mumewe akamtalaka akaenda kwa dogodogo
SHikamoo...
JINSI BABA YANGU MDOGO ALIVYONIGEUZA KUA SHOGA
Nakumbuka nilikua darasa la tatu wakati Baba yangu mdogo alipokuja kuishi na sisi, alikua anasoma kidato cha tano baada ya kufaulu huko kijijini...
Nimekuwa namjua Kama kidada Cha mjini tu ,mara skendo Mara hivi lakini na muda Sasa toka awe mkuu wa wilaya ,naona anabehave kiasi ameuchoma moyo wangu Kama mshumaa.
Tizama mavazi yake ,uje...
Kuna swali hapo juu linahitaji majibu naomba unijib kutokana na mtazamo wako.mimi kwangu maana kubwa ya maisha Ni kuujua ukweli ili niwe huru na Kisha niwe na amani ya moyo(inner peace) na baadae...
Natafuta mwanamke mrembo aliye na tabia nzuri.Asiwe na tattoo,awe amesoma angalau mpaka form 4 na kuendelea.Awe na umri kuanzia 22-25.kwa aliye tayari ani pm! Dua zenu wadau maana hii shughuli sio...
Hakika usaliti katika mapenzi ni jambo linaloumiza mno, linaacha majeraha makubwa mno ndani ya mioyo ya watu. Na hakuna kinachouma kama kutendwa. Na lina athari kubwa saana katika mahusiano ya...
sehemu gani ya PAPUCHI mwanamke inaweza kumpa raha hadi usingizi wa fofofo ukampitia? Ni nje au huko ndani interior ambako sisi vibamia hatuwezi kufika kwa namna yoyote ile.
Habari za siku nyingi wana MMU, niende moja kwa moja kwenye ndoto mada yangu
Jana wakati nikitafakari ushindi wa taifa stars ni wahalali au magumashi nikapitiwa na usingizi mzitoo kweli...
Wadau, tulikua tunabishana na mdau mmoja hapa kuhusu mikoa inayoongoza kwa matukio ya ubakaji kwa wanawake Tanzania, mmdau mmoja amesisitiza Kuwa unaoongoza ni Mara, mwingine anasema Mbeya.. je...
Hivi huu ulimbukeni mnaupendea Nini mtu siku ya harusi anapelekwa saloon akitoka hapo mpaka anatisha makope ya bandia,nyusi zimeongezewa mtu anakuwa na sura mpaka inatisha.marangi rangi usoni make...
kama wiki mbili zilizopita nilitoa uzi kuhusu mwanamke mmoja niliemtaka kimapenzi japo alikuwa ni mteja wangu wa miamala ya kifedha ila habari njema ni kuwa amenielewa na piah ameweza kunishawishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.