Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kwa binti unayempenda, yani unamalengo nae. Ikitokea amekuomba pesa. Ukamjibu ' sina '. Kisha akakata mawasiliano gafla. Jeh unahaja ya kuendelea kuwa na malengo nae..?? Kuna ndugu yangu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Humjui hakujui, si rafiki wala si jamaa, ndio mara ya kwanza kumuona isitoshe kila mmoja na safari yake, unaanzaje kumpenda!?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Eti wakuu, huu msemo Uko sawa kweli ? "Kukimbia tatizo sio kutatua tatizo" Swali ni je kila tatizo linaweza kutatuliwa bila kulikimbia ????? Assume mtu anae tembea (analala) na wake/waume za...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha.. Lakini hivi karibuni, nimetokea kumpenda binamu wa mume wangu.. Tena...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Naombeni sifa za wanaume wa kikenya katika mapenzi!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Oohhoooooo! One more time! Mic check one two! Itz me agaaaain!.. Wananiita comrade a.k.a NANGABOY! A.k.a CHUMA! Warembo wanapenda kuniita DR.LOVE Kwa moyo mkunjufu, uadilifu na uaminifu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wewe iko siku utakuja sena yote saivi utajiona kidume ila hutomaliza huu mwaka bila kusema ukweli . Saivi jione unakidhibitisho ila kwa baadae utasema yote.
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Hello Jf ? Muda mwingi nilijikuta nikilia sana kwa ajili ya ex wangu ambaye tumedumu kwa miaka zaidi ya mitatu. Nilishindwa kumove on kwa muda mrefu. Nikijiuliza naanzia wapi ? Huyu...
11 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimesoma taarifa ifuatayo iliyotokana na utafiti huko Marekani, katika page ya Millard Ayo, na kutamani kufahamu uhalisia wake.
4 Reactions
209 Replies
20K Views
Kifupi na katoto kamoja nilikapata enzi za kujaribu jaribu, mamake yuko vizuri kiuchumi anaishi nae kwakuwa bado kadogo, ila kuna muda nitamchukua niishi nae Sasa imefika muda wa kuoa serious ila...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Habari wana jamvi..! natumai muwazima wa afya.. Naomba kushare na nyie hii hali ili nipate ushauri kama ninamatatizo au ni hali ya kawaida, Watu wengi wanalalamika kua washawahi...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Nipo kwenye mahusiano mapya tatizo huyu mpenzi wangu ana kibamia yani tukifanya leo hata magoli 100 kesho tena na hamu yani hata sielewi nabaki kumkumbuka yule X naombeni ushauri jamani sielewi
7 Reactions
44 Replies
10K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada niliwahi sikia kuna baadhi ya wanawake ukishakua nao kwenye mahusiano mambo yako yanaanza kutoenda sawa na kama unabiashara inaanza kushuka Wakati mwingine hata...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kiukweli kabisa huwa sina mudi na mademu weupe ata kidogo, lakini kila ninapojaribu kuwatongoza huwa hawachomoi alafu nikiwa nao kwenye mahusiano wananiganda sana, Sijui kwa nini nikimuona demu...
6 Reactions
85 Replies
12K Views
Hii ndio ahadi yangu ya leo, Taifa Starz leo ikishinda naacha kuwagegeda naoa nakuwa mtu saaafi Kabisa. Cc Zero IQ
7 Reactions
79 Replies
5K Views
... Unilinde na mimi nikulinde hadi kufa... 💖💖
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Sio wote. Wengi wao wanajiona wazuri kama nini wakati kiukweli wengi wao hamna kitu ni hicho kirangi cha weupe ndo kinawabeba. Mnajua mnaboa nyie watu!?
3 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakuu nimetembea leo umbali mrefu katikati ya jiji huku nikitathmini vifua vya mabinti umri wa usichana. Nashangaa kugundua hakuna tena mwenye '' chuchu saa sita'' kama enzi za mwalimu. Yaani...
6 Reactions
59 Replies
12K Views
Naamini wana JF sote tunapendana, kwa maana ni jamii moja ya jf hivyo ni sawa na ndugu,jamaa au marafiki, napenda kuwajulia hali."habari zetu wakuu tupendanao?
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Wakuu, naomba msaada kufahamu jinsi ya kukisaidia kizazi cha leo kinachodai uasherati imekuwa ni sehemu ya maisha kwa sababu mbalimbali. Nimehudhuria semina ya vijana na hofu yao kuu kwa mabinti...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom