BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,019
Eti wakuu, huu msemo Uko sawa kweli ?
"Kukimbia tatizo sio kutatua tatizo"
Swali ni je kila tatizo linaweza kutatuliwa bila kulikimbia ?????
Assume mtu anae tembea (analala) na wake/waume za watu mlevi, kahaba, mwizi n.k hawa huu msemo bila shaka hauwafai.
Au wajuvi wa mambo mnaweza ongezea usahihi wa neno hili na litumike kwenye matatizo ya namna gani ?
Nawasilisha.